I see.Wewe kama mimi
mimi siku mbaya naijua... kama timu yangu itapoteza mechi ñajua, kama kuna mgeni au furaha najua.
Vyote kupitia ndoto tu.
Kizuri inatakiwa uujue mwili wako,
yaani mimi ndoto ya kweli najua na ndoto za aliniacha za bla bla nazijua.
anakuita,mfanyie duwaaSijamuwaza hata
Ahahah,,watu mnaogopa kufa halafu mnaitaka pepo!Kuna mtu huko juu kasema rafiki yangu alikuja kunitembelea
How i wish aje kuniona kila siku 😥
Atakujia Tena Hadi uelewe lengo lake.Mimi nachokumbuka yupo kwenye ndoto lakini ndoto inahusu nini sikumbuki hata
Tabia ya kutochukulia ndoto serious mara nyingi hufanya kutokuwa unazikumbuka kiasi cha wengine hadi kudhani huwa hawaoti ndoto kabisa ila kweli tunaota kila siku shida ni kukumbuka tu.Mimi nachokumbuka yupo kwenye ndoto lakini ndoto inahusu nini sikumbuki hata
Omba Mungu uote tena, ni ujumbe kutoka kwa spirit world zingatia sanaHeri wewe unayekumbuka ndoto hivi
Mimi nimemuota mara kadhaa wiki hizi lakini sikumbuki nimemuota anafanya ama tunafanya nini 😥