Ndoto zinazofunua Adui zako wa siri. (Dreams that reveal your secret Enemies)

Ndoto zinazofunua Adui zako wa siri. (Dreams that reveal your secret Enemies)

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Ndoto zinazofunua Adui zako wa siri.

1. Endapo kuna mtu unayemjua kukuwinda kwa Bunduki au kisu
(When someone you know chasing you with a Gun or knife)
~Haijalishi mtu huyo unamahusiano gani mazuri ni rafiki au ndugu yako, kaa ukijua ana mpango mbaya juu yako, maybe akutumie kwa manufaa yake.
1000122500.png

2. Kama kuna Mtu kaiba Nguo yako au Kiatu (When someone steal your clothes or Shoes)
~ Pia ukiota ndoto umemuona mtu kaiba nguo yako pia ni ushaidi kwamba kuna mtu Anampango mbaya juu yako, uenda kuchukua Nyota au Baraka yako ya hapa duniani na kuitumia kwa mpango wake.
1000122502.png

3. Mtu anaharibu au kuchoma kitu chako chenye thamani. (Destroy your valuable)

~Pia jambo hili katika ndoto uonesha adui yako ambae anaharibu kitu chako cha thamani na wewe huna habari au hukuweza kumzuhia.
mfano Ukiona mtu kachoma Gari au Kapasua Simu yako, katika ndoto ujue mtu huyo ni Adui yako mkubwa wa siri.
1000122501.png
 
Ndoto ya kuwa primary school huwaa naota kwa mwezi zaid ya mara 15. Katika mitindo tofaut mara napiga pepa mara na teach mara nasmamia pepa mara daaah leta mambo mnajimu
 
Ndoto ya kuwa primary school huwaa naota kwa mwezi zaid ya mara 15. Katika mitindo tofaut mara napiga pepa mara na teach mara nasmamia pepa mara daaah leta mambo mnajimu
Hata mm yananikuta kwa wakati fulani yaani primary au secondary nahisi sote tunahitaji msaad hapa
 
Usiogope kuota Ndoto Ukiwa primary, ni ndoto inawatokea watu wengi sana, hata mimi binafsi.

Safari ya Maisha inaambatana na Shule(kujifunza).

1. Ukiota ndoto mazingira ya shule yako ya Msingi
Maana yake: Mungu anazungumza na wewe au anakuonesha Mambo ya msingi katika maisha yako (mambo muhimu)

2. Ukiwa secondary pia
Maana yake: Just secondary things, (mambo madogo madogo ya kila mala)

:-Zingatia usikivu

Kuelewa ni Jambo gani Mungu anakuonesha sasa inatakiwa kujua kilitokea nini ukiwa shuleni ?

Shule ya roho mtakatifu pia, inaweza kuwakilishwa na shule yako uliyosoma.

Mfano: Kama ni unaoata matokeo ya kufeli.
Basi ujumbe kuna mambo unayakosea kwenye maisha yako na utakwenda kuanguka au kokosa.
 
Ndoto ya kuwa primary school huwaa naota kwa mwezi zaid ya mara 15. Katika mitindo tofaut mara napiga pepa mara na teach mara nasmamia pepa mara daaah leta mambo mnajimu
Hii ndoto inaashiria kwamba kuna mahali maisha yako yanakwamishwa. Ukiwa unaota hivyo unakuta maisha yako hayasongi (stagnation) na ukipiga hatua moja mbele unapiga nyuma nne (backwardness).
Hii ndoto ilinisumbua kwa miaka mingi sana, nikapata msaada wa maombi nikafunguliwa na maisha yangu yakafunguliwa na Zile ndoto zikaisha.
Maombi yalihusisha mimi na mtumishi kusafiri mpaka kule nilikosomea (km 1400) ili kufanya ukombozi. Sio maombi ya kitoto.
 
Back
Top Bottom