asante mkuu.Umenikumbusha jamaa mmoja aliamshwa usiku ili aweze kujisomea kwani kesho yake walikuwa wanafanya mtihani.Baada ya kuamshwa jamaa akaanza kulaumu kwanini ameamshwa wakati ule.Alipoulizwa kwa nini anawaka wakati alisema aamshwe wakati ule,akasema unajua nilikuwa naota mwalimu ametuleta mtihani tutakaofanya kesho.Sasa pale mliponiamsha ndo mwalimu alikuwa anataka kuanza kutupa majibu ya mtihani.Jamaa alitamani alale tena labda ndoto itaendelea.