Ndubu ni samaki wa ajabu anayepatikana Ziwa Tanganyika

Kigoma Region Tanzania

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
230
Reaction score
611
Samaki huyo mwenye mpomo au Komwe jina lake anaitwa NDUBU, ni samaki mwenye kuvutia kwa macho anapendeza mno akiwa kwenye maji. Samaki huyu ni moja ya kivutio cha watalii katika ziwa letu Tanganyika.

Hutumika kama samaki wa kuliwa ni mtamu sana na mwenye ladha nzuri na pia hutumika kama samaki wa mapambo (aquarium) akiwa kwenye maji humeremeta.

NDUBU hupatikana ziwa Tanganyika wilaya ya Uvinza maeneo ya Kalya, Sibwesa na Buhingu ndiko hupatikana kwa wingi samaki wa mapambo.

Kama ilipendekezwa watoto wa Shule ya msingi wavae Socks za pundamilia Ilikuwa ni kwasababu ya kiashirio cha wanyama hao wafahamike, hivyo basi hakuna budi tuseme socks za pundamilia pia ni Kiwakilishi kizuri cha samaki wetu huyu mtamu. MR NDUBU

Kitaalamu anafahamika kama ''Cyphotilapia frontosa'' kigoma f1 (First Filial), Wapo Jinsia ya kiume na jinsia ya kike.

Utajiri wa ziwa Tanganyika.
Ndubu ni huyu samaki mwenye mistari na komwe

1689157194033.png

MR NDUBU
1689157237249.png

MR NDUBU
1689157295285.png
 
View attachment 2685727
MR NDUBU
View attachment 2685729

MR NDUBU
View attachment 2685730
Anafanana na wanachama wa cha chama fulani cha siasa
 
Masudi Kipanya Mungu anakuona.

Kwa waCuba tu wataelewa🤣
 
Nilifanya sport fishing Buhingu hadi Kalilani samaki ni wengi mono Jamii ya Sangara
 
Ziwa Tanganyika ndiko walitolewa sangara wakaenda kupandikizwa ziwa victoria, sema sangara kule haeleweki sana kama mgebuka, kitoga na ningu, lakini kuna sangara wengi na wakubwa lile ziwa haijapata kutokea
 
Safi sana unaitangaza kigoma

Mtu kwao bwana

Ova
 
Back
Top Bottom