Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Sangara anaitwa Nile perch. Kwa asili alitolewa Mto Nile. Au Kuna historia tofauti na hilo?Ziwa Tanganyika ndiko walitolewa sangara wakaenda kupandikizwa ziwa victoria, sema sangara kule haeleweki sana kama mgebuka, kitoga na ningu, lakini kuna sangara wengi na wakubwa lile ziwa haijapata kutokea
Hao samaki wa urembo sio kula,hata nyama pundamilia hatakiwi kuliwa wala twiga.Aliyesema hatakiwi kuliwa ni nani na ni kwasababu gani?.
Cc BICHWA KOMWE -Samaki huyo mwenye mpomo au Komwe jina lake anaitwa NDUBU, ni samaki mwenye kuvutia kwa macho anapendeza mno akiwa kwenye maji. Samaki huyu ni moja ya kivutio cha watalii katika ziwa letu Tanganyika.
Hutumika kama samaki wa kuliwa ni mtamu sana na mwenye ladha nzuri na pia hutumika kama samaki wa mapambo (aquarium) akiwa kwenye maji humeremeta.
NDUBU hupatikana ziwa Tanganyika wilaya ya Uvinza maeneo ya Kalya, Sibwesa na Buhingu ndiko hupatikana kwa wingi samaki wa mapambo.
Kama ilipendekezwa watoto wa Shule ya msingi wavae Socks za pundamilia Ilikuwa ni kwasababu ya kiashirio cha wanyama hao wafahamike, hivyo basi hakuna budi tuseme socks za pundamilia pia ni Kiwakilishi kizuri cha samaki wetu huyu mtamu. MR NDUBU
Kitaalamu anafahamika kama ''Cyphotilapia frontosa'' kigoma f1 (First Filial), Wapo Jinsia ya kiume na jinsia ya kike.
Utajiri wa ziwa Tanganyika.
Ndubu ni huyu samaki mwenye mistari na komwe
View attachment 2685727
MR NDUBU
View attachment 2685729
MR NDUBU
View attachment 2685730
Hatari