Ndubu ni samaki wa ajabu anayepatikana Ziwa Tanganyika

Huku Kigoma lazima kuna siku nije niende. Nataka nikale migebuka fresh from ziwani.

Nitembelee maeneo mazuri ya huko, niburudike halafu nirudi job kuchakarika na maisha.
 
Ziwa Tanganyika ndiko walitolewa sangara wakaenda kupandikizwa ziwa victoria, sema sangara kule haeleweki sana kama mgebuka, kitoga na ningu, lakini kuna sangara wengi na wakubwa lile ziwa haijapata kutokea
Mkuu, Sangara anaitwa Nile perch. Kwa asili alitolewa Mto Nile. Au Kuna historia tofauti na hilo?
 
Aliyesema hatakiwi kuliwa ni nani na ni kwasababu gani?.
Hao samaki wa urembo sio kula,hata nyama pundamilia hatakiwi kuliwa wala twiga.
We unayeuliza nani kasema unaweza kula hadi paka,panya mbwa na mijusi kwa ulafi tu.
 
Cc BICHWA KOMWE -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…