Ndugai acha kuwaona watanzania ni wajinga. Kama Hayati Magufuli alipotoshwa, wewe kama Spika kwanini haukumshauri?

Mtu anajiita jiwe yeye anajua kila kitu na hashauriki ungekua wewe spika ungefanya nini na watoto wanakutegemea. Uliona kilichomkuta CAG ASAD kwa sasa kusimamia ukweli akakosa kiti chake.
Huo ni uoga
Watu kama hawa wangedai uhuru kwa wakoloni kweli?
 
Ila ukweli ni Huu japo mchungu WATANZANIA NI WAJINGA.
siyo wajinga dogo!!!bali Ndio siasa zilivyo Duniani kote. kupiga kick uonekane na kupangua.
Km huijui siasa!!! Wallah! utarusha ngumi eewe!! Heee!! kila siku vikaoni mpaka utakufa unajiona hivi. na kwa taarfa yako.

siasa imeanzia mbinguni kwa Mungu miaka dahari. Ukijiuliza sana hakuina jibu...

Si unaona wazi kabisa Mungu alikuwa anapiga story na mpinzani wake shetani kuhusu ntu wake yaani Ayubu?...Ebu piga picha ayubu angewaona wanayoongea angejisikiaje??

Pale shetani alipokuwa na yesu nyikani walipiga story sana mpaka wakaagana!! Je wanafunzi wake wangeona wangejisikiaje??

Hata hivo kwa nini Mungu asimtie kitanzi tu shetani?? Mpaka asumbue hivi? Hutapata jibu mpaka kesho. Siasa pia ni ivoivo!!

Ukimpa nafasi ya kujitetea hoja hawakosagi.watakupiga maneno mpaka unakaa chini.na kusema kweli kweli. Usikurupuke kwa mwanasiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…