Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kuna harufu ya 10% maana inakuwaje spika awe msemaji wa wachina? Hicho kikao cha huko China hakikuwa cha bureNdugai hana jipya, anatafuta pa kutokea.
Huo ni uogaMtu anajiita jiwe yeye anajua kila kitu na hashauriki ungekua wewe spika ungefanya nini na watoto wanakutegemea. Uliona kilichomkuta CAG ASAD kwa sasa kusimamia ukweli akakosa kiti chake.
siyo wajinga dogo!!!bali Ndio siasa zilivyo Duniani kote. kupiga kick uonekane na kupangua.Ila ukweli ni Huu japo mchungu WATANZANIA NI WAJINGA.