Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko

Mbona kanuni za kudumu za Bunge la JMT hujaziweka?
 
Kwa ninavojua mimi watu wenye akaunti verified huwa wanaandika hoja zenye maana, sasa wewe wamekuverify vipi huku unaandika matope/matiganga
 
Wewe ni Mahakama unayejuwa kutafsiri Sheria. Acha Mahakama ifanye kazi yake
 
Mbona kanuni za kudumu za Bunge la JMT hujaziweka?
Kanuni za kudumu za bunge hazijaeleza hatua za spika anayejiuzulu kwa hiyari

Imeeleza tu utaratibu wa kujiuzulu kama bunge likipiga kura ya kutokuwa na imani naye baada ya kushitakiwa ktk kamati ya maadili

Kwa kuwa kanuni ziko kimya mbadala ni ibara ya 89 (1)(c) ya katiba
 
Pumbavu
 
Kwa ninavojua mimi watu wenye akaunti verified huwa wanaandika hoja zenye maana, sasa wewe wamekuverify vipi huku unaandika matope/matiganga
Nimetoa maoni yangu. Kwa namna ulivyojibu ni wazi kuwa wewe ndiye una uelewa mdogo kwa sababh hoja hujibiwa kwa hoja. Toa maoni yako bila kutumia lugha isiyofaa.

Spika wa bunge amezingatia utaratibu wa kujiuzulu na bunge limethibitisha hilo.

Kama unataka kuoppose unashauriwa kuja na hoja mbadala.

Ahsante
 
Reactions: Tui
Yaani kama kitu hukielewi siyo lazima uchangie humu jf umeshaambiwa katibu wa bunge amepata barua ya kujiuzuru kwa spika wewe ulitaka nani aseme ndiyo ujue bunge limepewa taarifa? Wakati mwingine akili sijui mnazipelekaga wapi
 
Kikubwa ni Bunge kupata taarifa ya kujiuzulu kwake.

Suala la kukitaarifu chama kilichomdhamini ni hiyari yake na wala siyo kosa na haiathiri ukweli kuwa bunge limepewa taarifa ya kujiuzulu kwa spika na bunge lenyewe limekiri
Yaan Bunge linapata nakala bado unasema ni sawa, uoni hapo kama kuna kudharau mhimili. Kwan katiba inasema barua ya kujiuzulu itapelekwa kwenye chama?? Ni sawa nikupe kitu na mkono wa kushoto bado unasema ni sawa tu chamsingi kilekitu nimekipata.
 
Hii ni next level kbsa hongera sana
 
Kwamba Bunge ndo' lilipelekewa copy, ila 'orijino' alipewa katibu mkuu wa CCM[emoji848]
Ndio hivo yaani Utopolo kbsa kuna watu wajinga CCM chama la kindezi sana simple and clear
 
Yaani kama kitu hukielewi siyo lazima uchangie humu jf umeshaambiwa katibu wa bunge amepata barua ya kujiuzuru kwa spika wewe ulitaka nani aseme ndiyo ujue bunge limepewa taarifa? Wakati mwingine akili sijui mnazipelekaga wapi
Katibu wa Bunge amekili hajaandikiwa yeye, yeye kapewa nakala mlengwa wa barua ni KM CCM, akili za watu wa ccm ni Utopolo na Ndugai kawapima akili mmeingia mkenge poleni CCM-pwani na Zanzibar kwa huo undezi
 
Ndugai alimtaarif/alimwandikia katibu wa chama chake, nakala ya barua akampelekea katibu wa bunge. Kwa sheria ulio inukuu, katibu wa CCM ndie alipaswa kupewa nakala.
 
[https://res]

Baada ya kuibuka kwa mitazamo tofauti baada ya aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai kujiuzulu, tumemtafuta aliyekuwa Spika wa Bunge kuanzia 1994 hadi 2005 Pius Msekwa kwaajili ya ufafanuzi.

Msekwa ameeleza kuwa taratibu zote zimefuatwa na hakuna kilichoharibika kwa mujibu wa katiba ya Tanzania.

''Spika amechaguliwa na bunge, kwahiyo utaratibu sahihi barua ya Spika kujiuzulu ni lazima ipelekwe kwenye bunge na isomwe ndani ya bunge'' Spika Mstaafu Pius Msekwa ametoa ufafanuzi.

Zaidi msikilize hapa
 
Yaani kama kitu hukielewi siyo lazima uchangie humu jf umeshaambiwa katibu wa bunge amepata barua ya kujiuzuru kwa spika wewe ulitaka nani aseme ndiyo ujue bunge limepewa taarifa? Wakati mwingine akili sijui mnazipelekaga wapi
Wewe ndio una matatizo ya uelewa ila sitajiangaisha sana maana wewe ni matokeo ya shule za kata,speaker kaandika resignations letter kwa SG wa ccm SIO katibu wa Bunge!na hili ni kosa la kikatiba
 
Katibu wa Bunge amekili hajaandikiwa yeye, yeye kapewa nakala mlengwa wa barua ni KM CCM, akili za watu wa ccm ni Utopolo na Ndugai kawapima akili mmeingia mkenge poleni CCM-pwani na Zanzibar kwa huo undezi
Yaani we jamaa ni pimbi kwelikweli Tena hata pimbi ana akili we ni nyumbu kwani katiba inasemaje kuhusu hiyo taarifa iende original tu au hata copy? Ukionyesha katiba kama inataka origins basi umepona kama haijaonyesha wewe ni nyumbu tu na kwa taarifa yako katiba haijasema kama lazima iwe original
 
Wewe ndio una matatizo ya uelewa ila sitajiangaisha sana maana wewe ni matokeo ya shule za kata,speaker kaandika resignations letter kwa SG wa ccm SIO katibu wa Bunge!na hili ni kosa la kikatiba
Swali la kujiuluza ni Moja tu katibu wa bunge kapata barua au hajapata swala la origina au copy katiba haijasema acha u pimbi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…