Elimu Elimu Elimu.
Bunge halijapokea Barua ya Taharifa ya Ndugai Kujiuzuru, Bali
Limepokea Nakala ya Barua ya Taharifa ya Jinsi Ndugai alivyomuandikia Katibu Mkuu wa Chama chake Kujiuzuru kwake Ubunge.
Hivyo Bunge lina Taharifa au nakala Ya Barua ambayo Ndugai alimuandikia Katibu wa CCM... na Katiba inataka taharifa azitoe Bungeni sio azitoe kwa Bunge.. katiba imetaja Bungeni.
Bunge na Bungeni ni vitu viwili tofauti kabisa.
Bunge ni Ofisi inayosimamia na kuendesha mijadala ya wabunge.
Bungeni ni Ukumbini mijadala ya Wabunge inapojadiliwa.