Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Dhana ni primarily intended recipient wa hio barua, uwe na akili wewe kibwengo au umelishwa lile tope la pepsi you are too infant for me.Yaani we jamaa ni pimbi kwelikweli Tena hata pimbi ana akili we ni nyumbu kwani katiba inasemaje kuhusu hiyo taarifa iende original tu au hata copy? Ukionyesha katiba kama inataka origins basi umepona kama haijaonyesha wewe ni nyumbu tu na kwa taarifa yako katiba haijasema kama lazima iwe original
Katibu wa bunge sio mlengwa wa hio barua mlengwa ni KM kosa liko hapo, mlengwa apaswa kuwa katibu wa bungeSwali la kujiuluza ni Moja tu katibu wa bunge kapata barua au hajapata swala la origina au copy katiba haijasema acha u pimbi wewe
Sio bunge la CCM!....sawa.Watu wanasema lile sio bunge la CCM ni bunge la wananchi sasa kwanini Ndugai amwandikie Chongolo.
Umeelewa au bado?
woote ni MAZIGANYANGA tu hamtofautianiKikubwa ni Bunge kupata taarifa ya kujiuzulu kwake.
Suala la kukitaarifu chama kilichomdhamini ni hiyari yake na wala siyo kosa na haiathiri ukweli kuwa bunge limepewa taarifa ya kujiuzulu kwa spika na bunge lenyewe limekiri
Mimi nilidhani umeweka barua yake tuone hiyo wording kujridhisha kama imekidhi matakwa ya kikatiba au la, kumbe unaleta kitu tofauti?Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Ndugai...
Zaidi ni kwamba Mh. Mbatia alitakiwa akafungue kesi ya kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya, kama kweli anaona yule wa zamani hajajiuzulu Kikatiba, na si kwenda kufungua kesi ya kumlazimisha aliyejiuzulu ajiuzulu kwa utaratibu anaoudhani kuwa ni sahihi.Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Nduga...
Elimu Elimu Elimu.
Bunge halijapokea Barua ya Taharifa ya Ndugai Kujiuzuru, Bali
Limepokea Nakala ya Barua ya Taharifa ya Jinsi Ndugai alivyomuandikia Katibu Mkuu wa Chama chake Kujiuzuru kwake Ubunge.
Hivyo Bunge lina Taharifa au nakala Ya Barua ambayo Ndugai alimuandikia Katibu wa CCM... na Katiba inataka taharifa azitoe Bungeni sio azitoe kwa Bunge.. katiba imetaja Bungeni.
Bunge na Bungeni ni vitu viwili tofauti kabisa.
Bunge ni Ofisi inayosimamia na kuendesha mijadala ya wabunge.
Bungeni ni Ukumbini mijadala ya Wabunge inapojadiliwa.
Mimi nilidhani umeweka barua yake tuone hiyo wording kujridhisha kama imekidhi matakwa ya kikatiba au la, kumbe unaleta kitu tofauti?
1. Asante kiongozi. Umefanya vizuri kuambatanisha 'true copy of the original letter' iliyoandikwa tarehe 6/1/2022 na kuwa 'certified tarehe 29/1/2022'.
Hizi zote ni salakasi zeny hivo hatushangai leo mkija na barua kuonesha udhaifu wenu! Wakati mwanzo huko mlikili nyie wenyewe tena kwa waandishi!1. Asante kiongozi. Umefanya vizuri kuambatanisha 'true copy of the original letter' iliyoandikwa tarehe 6/1/2022 na kuwa 'certified tarehe 29/1/2022'.
2. For interest sake, unadhani ilipelekwa bungeni kabla ya kuwa 'certified' au baada ya kuwa 'certified'?