Kuna watu siku za karibuni wamesahau kuwa bunge ni mhimili na Mh. Job Ndugai ndiye aliye mkuu.
Hali hizi hazina afya hata kidogo:
Huku ni zaidi ya kutaka kumchezea sharubu chui aliyejeruhiwa.
Mh. Job Ndugai unavyo vyombo vya kutosha chini yako.
Kwa hakika tunaamini unavyo vyote vinavyohitajika kuweza kujilinda kikamilifu.
Sababu, uwezo, nia na hata uungwaji mkono unaotakikana wa kuwashughulikia wanaotaka kukosea haki pasipokuwa na uhalali wowote, vyote unavyo.
Yuko wapi anayetajwa au kujitutumua ambaye usiyeweza wewe kummudu?
Uungwana ni kitu cha bure.
Hauko peke yako Mh. Job Ndugai. Uko na wananchi wenzio na hasa wale wazalendo.
Wito wako wa kwanza mtu kupiga ripoti tume ya maadili itakuwa salamu tosha kwa wote wenye tabia hizi.
Haki hupiganiwa.
Hakuna kulala mpaka kieleweke.