Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Hata hiyo mkuu siyo akaunti ya Nusrat Hanje akaunti yake ni @nusrat_hanje hiyo iliyotumika ni @nusrat__hanje kwenye hizo underscore zimewekwa mbili __ baadala ya moja _ . Huko Twitter sasa hivi kumejaa wahuni mtu anaamka anabadili username anatembea na topic ambayo ipo trending ili apate likes na followers.
So far mbunge aliyeweka wazi kutaka spika ajiuzulu ni Neema Lugangira.