Ni jambo zuri, serikali kupitia Wizara ya afya iimarishe huduma ya mama na mtoto ili kuzuia kuzaa njiti kwa na ikitokea kuzaliwa basi ziwepo huduma bora za mtoto njiti kutunzwa hadi kufikia uzito stahiki na kuendelea vizuri.
Nchi za wenzetu mtoto njiti wa uzito Mdogo chini ya 1 kg anazaliwa na kukua vizuri bila kupotea.
Bongo sasa [emoji24][emoji24][emoji24]