Ndugai kujiunga na Chama kikuu cha Upinzani Itapendeza

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Wadau vipi ?

Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu?

Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea Uraisi.

Yaani mechi kuu ni Ndugai(CHADEMA) Vs Samia (CCM) ,sipati picha vizuri. halafu unakuta Uchaguzi kwa mara ya kwanza hakuna wizi wa kura.
 
Si mlikuwa mnasema wameanzisha Umoja Party au wamefuta wazo?
 
Mkuu umeanza mwaka vibaya, Ndugai hawezi kupokelewa CDM. Hata Dovutwa hamwitaji....
Ilikuwaje Lowasa na yule Jasusi mbobezi.
Siasa ni kazi za kiaina leo adi kesho lafiki ndio life circle ya siasa ,ni bora huyu akajiunga CHADEMA ,mapambano Ndugai anayaweza
 
Wadau vipi ?

Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu?

Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea Uraisi.

Yaani mechi kuu ni Ndugai(CHADEMA) Vs Samia (CCM) ,sipati picha vizuri. halafu unakuta Uchaguzi kwa mara ya kwanza hakuna wizi wa kura.

Kosa la kumpokea Lowassa halitakaa lirudiwe,na hata kama hivyo vyama vitafanya kosa la kupokea hizo taka ngumu toka CCM tutawapotezea. Kama Ndugai mwenyewe nashindwa kusimamia hoja yake ndio itakuwa asimamie upinzani. Asubiri kuna chama cha upinzani kinaanzishwa na CCM kwa uratibu wa Tiss akagombee kupitia huko.
 
Ndugai alivyo na majivuni yule mzee, huko kujiuzulu tu labda apigwe mkwara na TISS au Jeshi...
 
ShIndwaa Pepopunda!!!
Wadau vipi ?

Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu?

Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea Uraisi.

Yaani mechi kuu ni Ndugai(CHADEMA) Vs Samia (CCM) ,sipati picha vizuri. halafu unakuta Uchaguzi kwa mara ya kwanza hakuna wizi wa kura.
 
Wadau vipi ?

Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu?

Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea Uraisi.

Yaani mechi kuu ni Ndugai(CHADEMA) Vs Samia (CCM) ,sipati picha vizuri. halafu unakuta Uchaguzi kwa mara ya kwanza hakuna wizi wa kura.
IMG-20220105-WA0076.jpg
 
Inawezekana kabisa 100%.wapinzani wenyewe wanajulikana.
 
Kwa hiyo CHADEMA mna ubaguzi ??? Mnachagua dhahabu tupu ? Shaba hamzitaki, kwa majibu ya baadhi yenu inaonyesha wazi Chadema ni chama cha wabaguzi ,inawezekana mkamkubali na baada ya muda mkaona alichelewa kujiunga nanyi ,huwezi jua ya Mungu mengi.
Halafu acheni hadithi za Sungura sizitaki mbichi hizi,
Chadema huyu Ndugai kama akija kwenu msimkatae mkaribisheni na mumpe uongozi wa ngazi ya juu ili awe mgombea Uraisi ,msimuachie kabisa.jamaa ni mpiganaji kamanda asiekubali kushindwa,tumeona ni kwa jinsi gani akipambana pale bungeni,hakuwahi kushindwa kwenye maamuzi yeyote aliyoyataka yawe.
 
Akiingia Chadema uhakika wa kupewa nafasi ya kugombea uraisi ni 99%. Kumbuka ilivyokuwa kwa Lowasa aliingia wiki hii wiki iliyofata katoa pesa akapitishwa, huku waliofia chama wakidhihakiwa na kutupiwa maneno machafu yasiofaa. Hata Nyalandu kweny kura zao maoni 2020, alikuwa ashawabwaga wakongwe wa chama hicho waliokipigania kwa jasho na damu, isingekuwa kelele za wanaharakati wao humu mitandaoni basi Lisu angeishia kumpigia deki barabara kama alivyompigia Lowasa. Chadema wao wanaangalia pesa, na sio sifa au kashfa za mgombea.

2482544_20200810_190442.jpeg
 
Ilikuwaje Lowasa na yule Jasusi mbobezi.
Siasa ni kazi za kiaina leo adi kesho lafiki ndio life circle ya siasa ,ni bora huyu akajiunga CHADEMA ,mapambano Ndugai anayaweza
Huyo kaeni naye huko huko mkuu, ccm ndiyo inamweza Ndugai
 
Wadau vipi ?

Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu?

Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea Uraisi.

Yaani mechi kuu ni Ndugai(CHADEMA) Vs Samia (CCM) ,sipati picha vizuri. halafu unakuta Uchaguzi kwa mara ya kwanza hakuna wizi wa kura
Apokeleki huyu
 
Wadau vipi ?

Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu?

Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea Uraisi.

Yaani mechi kuu ni Ndugai(CHADEMA) Vs Samia (CCM) ,sipati picha vizuri. halafu unakuta Uchaguzi kwa mara ya kwanza hakuna wizi wa kura.
Anzisheni chama chenu ili Ndugai awe mgombea na wewe uwe Mgombea mwenza pamoja na kina COVID 19.
 
Back
Top Bottom