Si mlikuwa mnasema wameanzisha Umoja Party au wamefuta wazo?Wadau vipi ?
Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu?
Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea Uraisi.
Yaani mechi kuu ni Ndugai(CHADEMA) Vs Samia (CCM) ,sipati picha vizuri. halafu unakuta Uchaguzi kwa mara ya kwanza hakuna wizi wa kura.
Ilikuwaje Lowasa na yule Jasusi mbobezi.Mkuu umeanza mwaka vibaya, Ndugai hawezi kupokelewa CDM. Hata Dovutwa hamwitaji....
Wadau vipi ?

Hao hao ndiyo wakimpiga mkwara mpaka akasali sala ya toba kwenye press conference.Ndugai alivyo na majivuni yule mzee, huko kujiuzulu tu labda apigwe mkwara na TISS au Jeshi...
Huyo kaeni naye huko huko mkuu, ccm ndiyo inamweza NdugaiIlikuwaje Lowasa na yule Jasusi mbobezi.
Siasa ni kazi za kiaina leo adi kesho lafiki ndio life circle ya siasa ,ni bora huyu akajiunga CHADEMA ,mapambano Ndugai anayaweza
Apokeleki huyuWadau vipi ?
Ndugai akitangaza kujiunga na Chama kikuu cha upinzani mtampa tiketi ya kugombea Uraisi hapo kama ikifika 2025,katika uchaguzi Mkuu?
Bora ajiunge na Chadema, kwani kwa 2025 watakuwa hawana mgombea mazubuti atakae weza kupambana na Samia kama CCM watampitisha Samia kugombea Uraisi.
Yaani mechi kuu ni Ndugai(CHADEMA) Vs Samia (CCM) ,sipati picha vizuri. halafu unakuta Uchaguzi kwa mara ya kwanza hakuna wizi wa kura
Anzisheni chama chenu ili Ndugai awe mgombea na wewe uwe Mgombea mwenza pamoja na kina COVID 19.Wadau vipi ?

.