Ndugai kujiunga na Chama kikuu cha Upinzani Itapendeza

Ndugai huyu huyu aliyekuwa akilamba viatu vya Jiwe? Ndugai huyu huyu aliyemeza matapishi yake kwa kuomba msamaha kwa kauli ambayo angeweza kuisimamia na kuitetea kwa hoja?
Ndugai huyu huyu ambaye huwa hachelewi kuufyata mkia kwa 'heavyweights' lakini wanyonge kwake huwadhihaki, huwatesa na kuwadhalilisha, au ni Ndugai mwingine anayeongelewa hapa.
 
Yusto popote kule hafai, jimboni, bugeni hata kuwa raia wa Tanzania ni aibu kwa Nchi kwani Yusto aka muke ya Jesus hana busara na nidhamu!
Ni hohehahe wa akili.

Aende nyumbani akale ugolo na wazee huko ugogoni
 
Chadema wameanza kumrushia Chambo Ndugai ,au Lisu siku hizi sie wa Chadema tena,
 

Utamkataa wewe kama nani.
Mwenyekiti akiamua wehuna chakufanya zaidi ya kupiga makele.

Hata ukiondoka chama hakitajua kama kulikuwa na mtu kama wewe.
Chama kinaangalia asset, Ndugai akipokelewa chadema anakuwa asset zaidiyako mara millins.
 
Hana hadhi hyo
 
Hawezi upinzani yule ana akili ndogo Sana
Kama ameshindwa kupeleka maendeleo Jimbo lake akiwa na nafasi hii ataweza kuletea maendeleo Taifa? Stupid!
 
Kwa upinzani upi, huu huu waliotumia kila namna kuumaliza?
Hicho chama kitakachompokea nacho kinatakiwa kiangaziwe upya.

Huyu jamaa hana msimamo. Na hii imezidi kumpaisha Mzee wa Viwango (Six) kuonekana aliimudu ipasavyo kazi yake.
Mzee Rip Samwel Sitta alikuwa kidume haswa. Hakupenda ujinga akiwa kwenye Podium hapo na aliitendea haki vilivyo
 
Labda TISS ya ukoo wako
 
Hata kama akienda huko, atakuwa raia wa kawaida kwa sababu ni Mtanzania, lakini kwenye mzani, jiwe lake linahitaji nyongeza sana.
Kwa akili za Ndugai alivyo narrow minded bila msimamo hawezi kwenda Chadema hata sekunde maana kwa utaratibu wa CCM vyote ulivyojitwalia ukiwa CCM wanakupora πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ili ukaanze upya maisha ukiwa mpinzani!

Nani anataka ku risk, Sumaye tu alirudisha makende chap baada ya kutaka kuporwa mashamba yake hectare za kutosha hapo Morogoro aliyojitwalia akiwa waziri mkuu awamu ya 3!

Hawezi risk mali alizofisadi akiwa CCM ziporwe na analijua hilo CCM ni wahuni balaa.
 
Nani apokee like kihuni!!
 
Ndugai hawezi kupewa nafasi ya kugombea urais kupita Chadema, hana fedha ya kumpa mbowe.
 
Utamkataa wewe kama nani.
Mwenyekiti akiamua wehuna chakufanya zaidi ya kupiga makele.

Hata ukiondoka chama hakitajua kama kulikuwa na mtu kama wewe.
Chama kinaangalia asset, Ndugai akipokelewa chadema anakuwa asset zaidiyako mara millins.

Wampokee ndio watajua nguvu yetu.
 
Ikiwezekana aache kabisa siasa maana ana roho mbaya, kiburi na hana utu kabisa ushahidi namna alivyomchapa mgombea mwenzie fimbo na alivyosema chezea chochote usichezee ndugai.
Yaan sijui kama kuna chama kitampokea labda anzishe chama chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…