GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hana ubavuNakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.
Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Mazee wamemtuma mara mbili (kuomba radhi na kudhalilika) na (kuandikiwa barua ya kujiuzulu) hizo zatosha.Nakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.
Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Mkuu shusha nondo.. kuna kitu unajua ebu kimwage hapa mkuuMazee wamemtuma mara mbili (kuomba radhi na kudhalilika) na (kuandikiwa barua ya kujiuzulu) hizo zatosha.
Baada ya hapo tumsikilize Magamba Matatu na updates.
Jenerali Ulimwengu alisema, "nchi hii ni ngumu".
Hata amini yatakayomkuta akifwata huu upupuNakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.
Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Duh!...Spika hajajiuzulu.
Sijui hata imekuwaje,, huenda alikamatwa akafichwa na barua ikaandikwa.
Wamemuachia amekanushaView attachment 2071317
Conspiracy theories...Ni kwamba Team MSG ina nguvu kuliko timu ya kawaida.
Team MSG ina kambi kabisa ya wale jamaa ambao aliwasema SloSlow na hawa ni hatari sana maana walijengwa na kuimarishwa between 2005 na 2015.
Lengo kuu ni kutumika kwenye makusudio maalum.
Hivyo hata DG wa mazee nae yupo matatani lakini bado alindwa na mjeda mkuu na wengine walomshika mama sikio siku ile ya maziko Chatou.
Ila mpaka sasa haijasawazishwa rasi hivyo yabakia bado mama ni 2021-2025 only.
Lakini operesheni maalum ya kumsaidia ili kuficha mazito yanoweza kuibuliwa khasa kuhusu JPM ndio imeanza.
Sasa mimi nipo Fort Green na nyeti nizipatazo zikiwa bado kwa kiingereza twasema "patchy".
Ila Magamba Matatu yumo ndani ya parametres, tumsikilize na kumfuatilia.
We mponze tu Kolo mwezio[emoji16]Nakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.
Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Thubutu! Hana ujanja huo kama lisu alipona huyu hatapona mkuuNakukubali sana Spika Ndugai ( na hivi ni mwana Simba SC Mwenzangu ) na hata Asili ya Wagogo siyo Watu Waoga Waoga kama Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Wanyamwezi, Warangi na Wakara hivyo nakuomba kwakuwa Mama "amekusanua' hivyo nawe pia ( Kumbuka Wewe ni Mwanaume ) kwahiyo usiogope bali nawe 'msanue' na 98% ya Watanzania 'tunaokusapoti' tutakulinda tu dhidi ya Wanyama Wakali na Hatari wa Msaada Kontena Oysterbay kama wakitaka Kukunyoosha mazima.
Usituangushe Spika Ndugai msanue tu.
Ujinga mtupu. Job amefanya makosa ya wazi kabisa na hata kama angeyafanya wakati wa Jiwe angetimuliwa vilevile.Ni kwamba Team MSG ina nguvu kuliko timu ya kawaida.
Team MSG ina kambi kabisa ya wale jamaa ambao aliwasema SloSlow na hawa ni hatari sana maana walijengwa na kuimarishwa between 2005 na 2015.
Lengo kuu ni kutumika kwenye makusudio maalum.
Hivyo hata DG wa mazee nae yupo matatani lakini bado alindwa na mjeda mkuu na wengine walomshika mama sikio siku ile ya maziko Chatou.
Ila mpaka sasa haijasawazishwa rasi hivyo yabakia bado mama ni 2021-2025 only.
Lakini operesheni maalum ya kumsaidia ili kuficha mazito yanoweza kuibuliwa khasa kuhusu JPM ndio imeanza.
Sasa mimi nipo Fort Green na nyeti nizipatazo zikiwa bado kwa kiingereza twasema "patchy".
Ila Magamba Matatu yumo ndani ya parametres, tumsikilize na kumfuatilia.