Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,330
Ndugai anaposema "Mkileta lugha hizo tutagawana mbao hapa, na hapa ndio mahala pake" Anamaanisha nini huku akitolea mfano wa kauli ya mjumbe kutoka Zanzibar aliyesema Muungano umekuwa unawakandamiza wazinzibar?
Je ni vitisho dhidi ya wanzibar kuwa muda wowote wanaweza kugawana mbao na hivyo kila mtu akabaki na lwake? Ameona kuwa atakuwa anawakomoa wanzibari au atakuwa amewasaidia kuondokana na malalamiko yao ya kila siku dhidi ya dudu la kiini macho linaloitwa Muungano?