Ndugai: Mkitumia lugha hizo tutagawa mbao hapa, shauri yenu...

Ndugai: Mkitumia lugha hizo tutagawa mbao hapa, shauri yenu...

Ukiuangalia kiundani huu muungano unawabeba zaidi wanyiabaharini kuliko Tanganyika lakini kinachonishangaza hao wanyiabaharini ndiyo wamekuwa na kimbelembele cha kutaka maslahi na mamlaka zaidi kuliko upande pili, mtambue kwamba hilo halitakubalika kamwe.

Bwana mkubwa hivyo unaweza ukaenda mbele ya watoto wako kama baba na kujisifia kubebwa na mwanamume mwenzio? Na kwanini unayembeba akisema nimechoka kubebwa usione afuweni? Pengine hali sio kama unavyofikiria kwani kwa akili ya kawaida kupe likibeep tu kupanga chumba chake unamsaidia haraka liondoke!
 
Kwa hili ndugai yupo sahihi.
Wznz ni walalmishi tu hawaonyeshi wapi wanakandamizwa.
Wzn wamekariri maneno ambayo hawawezi kuyaweka katika hesabu.

Pengine lugha huifahamu vizuri. Wazanzibari si walalamishi bali ni walalamikaji. Badala yake ni kuwa Watanganyika ndio walalamishi kwani wanavutia kwao kila kitu na kuibeza Zanzibar kama mshiriki sawa wa muungano huu. Unapomuonea mtu atalalamika na ndio hali iliopo.

Wamekuja Dodoma wenyewe sasa malalamiko ya nini.
Kama wangejua wanakandamizwa wasingetokea Dodoma kabisa ili TUGAWANE MBAO.
Naam ulitaka wasije na badala yake wangelizungumza hili wapi? Unashangaza sana ikiwa huangalii hilo Bunge linaenda vipi. Mbona kuna malalamiko hata kati ya Watanganyika na Watanganyika, jee nao tuseme wameendea nini huku wakijuwa kuwa kuna kundi moja lenye nguvu?

Ndugai ni mwana JF hasa, hii kauli ni maarufu hapa JF 'Tuvunje jahazi tugawane mbao'.
Ndugai at least ameonyesha uchungu na Tanganyika inayolipa gharama kubwa ya muungano na kupata mgao wa faida ya mitusi na kashfa zisizo na kichwa wala miguu kutoka kwa wznz.
Uchungu wake na wako ni wa uongo kwani kwenye muungano huu nani anafaidi? 43 millioni na 1.5 millioni wepi wanatumia huduma kubwa zaidi, huku kwenye mapato hakuna uiano unaoeleweka?

Narudia, wamekuja Dodoma bila police au kufungwa kamba, sasa wanalalamika nini.
Wangetaka kujikomboa tulishawaambia siku nyingi sana wasije, maana yake wangepata mamlaka kamili na wala wasingekandamizwa.
Wamekuja kwasababu hapo ndipo mlipo kama nyini na Ndungai ili muyasikie watakayoyasema.
Midhali wapo Dodoma wamekubali na sasa wafunge vinywa vyao

Wabebwe halafu wacheze msewe kwenye migongo ya watu! ebo! alaah

Nafikiri bado hamna ubavu wa kuwabeba Wazanzibari kwani msingetumia mbinu za kuwaviza katika harakati zao za kujinasua na huo unaouita kubebwa.
 
Hata kama kwa katiba hii muungano utanusurika, tujue tu kuwa hautadumu.

Nakubaliana nawe iwapo hatutokuwa na kuheshimiana kwa taratibu za kidola kwani muungano huu ni wa kidola.
 
Mara ya pili leo umenithibitishia kua unachoongeaga sicho unacho kiamini moyoni mwako, na hi ndio sifa ya Watanzania wengi!
Yaani ndugai akiwa 'peke yake' anatema point mpaka raha ...Ukweli mtupu. Wazenj wanalalamika sana wakati wao ndio 'beneficiries' wakubwa wa muungano.
 
hata Tembo huangushwa na Chura mtoni....!!! pumbavvzzz!!!

Siku zenu zinahesabika, jeuri, kibri na ujivuni sidhani kama vitawasaidia, hakika mtakuja lia na kusaga meno. Talaka yenu inaandaliwa.
 
Nakubaliana nawe iwapo hatutokuwa na kuheshimiana kwa taratibu za kidola kwani muungano huu ni wa kidola.
Heshima mpewe nyie tu, mna rais, bendera, bunge nk lakini mbona nyie hamna heshima kwa kaka yenu Tanganyika?
 
Heshima mpewe nyie tu, mna rais, bendera, bunge nk lakini mbona nyie hamna heshima kwa kaka yenu Tanganyika?

Unaitafsiri heshima kuwa ni kutoka kwa mkubwa kwenda kwa mdogo? La , heshima ni kuheshimiana mdogo kwa mkubwa na mkubwa kwa mdogo na msingi hasa wa heshima ni kukubali matakwa ya mwenzako kwa kitu anachokimiliki hata kikiwa robo ya punje mbele ya wingi ulionao.
 
Bwana mkubwa hivyo unaweza ukaenda mbele ya watoto wako kama baba na kujisifia kubebwa na mwanamume mwenzio? Na kwanini unayembeba akisema nimechoka kubebwa usione afuweni? Pengine hali sio kama unavyofikiria kwani kwa akili ya kawaida kupe likibeep tu kupanga chumba chake unamsaidia haraka liondoke!

Nimekuelewa mkuu, ngoja basi tuandae karatasi ya talaka ili tuachane kwa amani.
 
Unaitafsiri heshima kuwa ni kutoka kwa mkubwa kwenda kwa mdogo? La , heshima ni kuheshimiana mdogo kwa mkubwa na mkubwa kwa mdogo na msingi hasa wa heshima ni kukubali matakwa ya mwenzako kwa kitu anachokimiliki hata kikiwa robo ya punje mbele ya wingi ulionao.
Hebu niambie mkuu Ngekewa, kwa mfumo wa muungano ni kipi hasa nyinyi kinachowabana??? mbona mambo mengi yamefanywa kwa kuwapendelea nyinyi kutokana na udogo wenu???
 
Last edited by a moderator:

Wengine tumechoka,hapa ni maswala ya kila mtu kuchukua zake, ukienda kule passport ukija kwetu ivo ivo...hakuna cha udugu hapa, tumebembeleza yametufika kooni..
Ka kisiwa kenyewe na global warming katamezwa siku 0 tu, ebu tujali yetu kwanza...
 
Nimekuelewa mkuu, ngoja basi tuandae karatasi ya talaka ili tuachane kwa amani.

Ndowa za waume kwa waume huwa hzina cheti cha serikali, kila mmoja huvaa suruali yake akaenda zake. Iwapo huu muungano ulikuwa ndowa!
 
Hebu niambie mkuu Ngekewa, kwa mfumo wa muungano ni kipi hasa nyinyi kinachowabana??? mbona mambo mengi yamefanywa kwa kuwapendelea nyinyi kutokana na udogo wenu???

Tatizo ni kuwa mnadanganywa na wanasiasa kuwa kuna mengi yamefanywa kwa Zanzibar. Ningeomba unipe orodha ya hayo mambo lakini kwa upande wangu ningekwambia ovu moja kubwa linalofanywa kwa Zanzibar.
Zanzibar ni nchi yenye wananchi wanaohitaji huduma zote zinazotakiwa kwa mwanadamu wa kawaida, na unapoinyima Zanzibar uhuru wa kuamuwa ilitakalo na wananchi wake basi hilo ni ovu kubwa sana kwani linavunja msingi wa haki za binaadamu. Hivyo kwanini wanalotaka Wazanzibari kwa kipande chao cha ardhi (Zanzibar) iwe nongwa na lazima tuwapigie magoti? Na kila siku jawabu hapana kwa matakwa ya Wazanzibari. Yaani hii ndiyo ile ulioiita wewe ndowa kuwa nyie mabwana na muwe waamuzi wa nini cha kutufaa sisi?
 
Back
Top Bottom