Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,330
Ndugai anaposema "Mkileta lugha hizo tutagawana mbao hapa, na hapa ndio mahala pake" Anamaanisha nini huku akitolea mfano wa kauli ya mjume kutoka Zanzibar aliyesema Muungano umekuwa unawakandamiza wazinzibar?
Je ni vitisho dhidi ya wanzibar kuwa muda wowote wanaweza kugawana? Ameona kuwa atakuwa anawakomoa wanzibari?
Leo na kuunga mkono kwenye hili , amekuwa mtetezi wa Tanganyika huru.Ngungai ameongea kitanganyika na kizalendo zaidi
Bora lawama kuliko fedheha.
Wagawane mbao kieleweke
ndugai ni embe bovu
Ngungai ameongea kitanganyika na kizalendo zaidi
Bora lawama kuliko fedheha.
Wagawane mbao kieleweke
Ngungai ameongea kitanganyika na kizalendo zaidi
Bora lawama kuliko fedheha.
Wagawane mbao kieleweke