Mkisema mnaitaka Tanganyika sitaki tena kusikia mnataka muungano...! Tumesema ama serikali mbili huru (Tanzania Bara na Zanzibar) ama serikali moja ya muungano.
Hakuna nchi inayoitwa Tanzania Bara na Zanzibar.Tanganyika na Zanzibar. Hakuna popote palipoandikwa Tanzania Bara.Wewe unaipata wapi hii nchi tanzania Bara? Hata mkigawana mbao Zanzibar wataendelea kunufaika na jina lao. Nyie mtalazimika kutafuta jina jingine la nchi yenu kama si tanganyika. Nje ya Zanzibar hakuna Tanzania Bara.