Ukweli mchungu,
Tanzania hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni haupo huu ndio ukweli.
Ndugai na Bashiru uwe mfano hai na mjiulize kama viongozi wanatoa maoni kama hayo na sio kwamba ni kosa lakini wanaandamwa na kutweza itakuaje kwa mwananchi wa kawaida maoni yake yataheshimika kweli?
Bado Tanzania ina mfumo wa kidikteta, na demokrasia inaimbwa ili kuvutia wafadhili na wakopeshaji watoe pesa lakini hakuna kitu cha maana.
Mkumbuke hakuna demokrasia ndio maana hakuna hata maendeleo pamoja na rasilimali.
Nchi imebeba idadi kubwa ya wajinga wasioweza kufikiri isipokua wanawaza matumbo yao tu.