Ndugai na Dkt. Bashiru wamethibitisha kuwa Tanzania hakuna Demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni

Ndugai na Dkt. Bashiru wamethibitisha kuwa Tanzania hakuna Demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni

Kwa hiyo Ndugai na Bashiru ndiyo watanzania wote? Mbona wewe mtoa mada unatoa maoni yako humu kwa uhuru?
Hata Ndugai na Bashiru wangetoa maoni yao humu bila kujulikana kama ndio wao basi isingekuwa shida.
 
Njaa ipi sasa mkuu na wakati yupo bungeni na ingekuwa njaa basi angesifia na yeye kama wafanyavyo wengine.
mkuu bashiru yuko sahihi kwa analolisema shida yangu ni kwanini aseme wakati huu mbona hakusema wakati wa magufuli alikuwa anaogopa nini na yeye ndo alikuwa kiongozi wa waliokuwa wanashukuru na kupongeza na makiki kibao katika vyombo vyote vya habari

sasa maswali kipindi kile hakuyaona haya? au nini kimemfanya aseme sasa hivi?
 
Back
Top Bottom