Umeongea mkuu....pata kitu baridi kwa mkinga tutaangalia namna ya kufanya baadaeHamna chama cha siasa ambacho wanasiasa wake wapo huru kutoa maoni yao kwenye vyama vyao.
Ukiwa CCM unaonekana huna adabu na uheshimu viongozi wako.
Huku upinzani utaambiwa msaliti na umenunuliwa na ndio vyama hivi viongozi wao ni walewale ukiwakosoa tu ukatafute chama kingine au kaanzishe chako.
Kote ni mwendo wa ndio ndio, na ndio mana siasa za kibongo mara zote kuna msimamo wa chama hamna msimamo wa mtu binafsi hata kama huo msimamo hauko sawa.
Swala la mgombea binafsi ni zuri sana I hope kuna siku litapitishwa.
Ukweli mchungu
Tanzania hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni haupo huu ndio ukweli.
Ndugai na Bashiru uwe mfano hai na mjiulize kama viongozi wanatoa maoni kama hayo na sio kwamba ni kosa lakini wanaandamwa na kutweza itakuaje kwa mwananchi wa kawaida maoni yake yataheshimika kweli?
Bado Tanzania ina mfumo wa kidikteta, na demokrasia inaimbwa ili kuvutia wafadhili na wakopeshaji watoe pesa lakini hakuna kitu cha maana.
Mkumbuke hakuna demokrasia ndio maana hakuna hata maendeleo pamoja na rasilimali.
Nchi imebeba idadi kubwa ya wajinga wasioweza kufikiri isipokua wanawaza matumbo yao tu.
safi kabisa naungana na wewe katika hili,,,bashiru ndo muasisi wa haya mambo ya kutukuzana na kusifiana pasipo sababu sasa hivi njaa inamnyemelea anaanza kulalama,,,avune alichopandaHawa ndio waasisi wa huu upumbavu, wanavuna walicho panda wao
Wakati walipokuwa wakimuimbia hiyena hiyena mungu wao hukutamka wala hukuliona hili Isipokuwa wakati wa awamu ya sita ndio unaliona, Acha unafiki.Ukweli mchungu,
Tanzania hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni haupo huu ndio ukweli.
Ndugai na Bashiru uwe mfano hai na mjiulize kama viongozi wanatoa maoni kama hayo na sio kwamba ni kosa lakini wanaandamwa na kutweza itakuaje kwa mwananchi wa kawaida maoni yake yataheshimika kweli?
Bado Tanzania ina mfumo wa kidikteta, na demokrasia inaimbwa ili kuvutia wafadhili na wakopeshaji watoe pesa lakini hakuna kitu cha maana.
Mkumbuke hakuna demokrasia ndio maana hakuna hata maendeleo pamoja na rasilimali.
Nchi imebeba idadi kubwa ya wajinga wasioweza kufikiri isipokua wanawaza matumbo yao tu.
Unamaanisha wakati ule kulikuwa na Uhuru mkubwa kweli, ajabu ya mnafiki hii.
Ukweli mchungu sana huu kwao. Walipokuwa kwenye nafasi ya kufanya mabadiliko, walijigeuza kuwa vipofu!Hawa ndio waasisi wa huu upumbavu, wanavuna walicho panda wao
Njaa ipi sasa mkuu na wakati yupo bungeni na ingekuwa njaa basi angesifia na yeye kama wafanyavyo wengine.safi kabisa naungana na wewe katika hili,,,bashiru ndo muasisi wa haya mambo ya kutukuzana na kusifiana pasipo sababu sasa hivi njaa inamnyemelea anaanza kulalama,,,avune alichopanda
Waliasisi vp mkuu?Hawa ndio waasisi wa huu upumbavu, wanavuna walicho panda wao
Hiyo demokrasia waliipa kipaumbele enzi zao? Acha wapigwe tu wanafiki haoUkweli mchungu,
Tanzania hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni haupo huu ndio ukweli.
Ndugai na Bashiru uwe mfano hai na mjiulize kama viongozi wanatoa maoni kama hayo na sio kwamba ni kosa lakini wanaandamwa na kutweza itakuaje kwa mwananchi wa kawaida maoni yake yataheshimika kweli?
Bado Tanzania ina mfumo wa kidikteta, na demokrasia inaimbwa ili kuvutia wafadhili na wakopeshaji watoe pesa lakini hakuna kitu cha maana.
Mkumbuke hakuna demokrasia ndio maana hakuna hata maendeleo pamoja na rasilimali.
Nchi imebeba idadi kubwa ya wajinga wasioweza kufikiri isipokua wanawaza matumbo yao tu.
Wanakula janga laoHawa ndio waasisi wa huu upumbavu, wanavuna walicho panda wao
Jpm ndio rais aliongoza kwa kufanya maigizo ya sifa.Wakati walipokuwa wakimuimbia hiyena hiyena mungu wao hukutamka wala hukuliona hili Isipokuwa wakati wa awamu ya sita ndio unaliona, Acha unafiki.
Mkuu hatupo awamu ya JPM hapa.Jpm ndio rais aliongoza kwa kufanya maigizo ya sifa.
Wenyewe wavunja Katiba na Sheria wakuu!Ukweli mchungu,
Tanzania hakuna demokrasia wala uhuru wa kutoa maoni haupo huu ndio ukweli.
Ndugai na Bashiru uwe mfano hai na mjiulize kama viongozi wanatoa maoni kama hayo na sio kwamba ni kosa lakini wanaandamwa na kutweza itakuaje kwa mwananchi wa kawaida maoni yake yataheshimika kweli?
Bado Tanzania ina mfumo wa kidikteta, na demokrasia inaimbwa ili kuvutia wafadhili na wakopeshaji watoe pesa lakini hakuna kitu cha maana.
Mkumbuke hakuna demokrasia ndio maana hakuna hata maendeleo pamoja na rasilimali.
Nchi imebeba idadi kubwa ya wajinga wasioweza kufikiri isipokua wanawaza matumbo yao tu.
Kwa hiyo Ndugai na Bashiru ndiyo watanzania wote? Mbona wewe mtoa mada unatoa maoni yako humu kwa uhuru?Ukweli mchungu,