mkuu bashiru yuko sahihi kwa analolisema shida yangu ni kwanini aseme wakati huu mbona hakusema wakati wa magufuli alikuwa anaogopa nini na yeye ndo alikuwa kiongozi wa waliokuwa wanashukuru na kupongeza na makiki kibao katika vyombo vyote vya habari
sasa maswali kipindi kile hakuyaona haya? au nini kimemfanya aseme sasa hivi?