SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,338
- 4,676
- Thread starter
- #21
Nani amempa USA haki ya kuamua nani awe Raisi wa nchi xyz na nani asiwe wakati ni kinyume cha UN international law?
Kwa hiyo,kwa USA kufanya hivyo ndio inatoa haki ninyi kuiga? USA wanahimiza Uhuru Wa watu Wa jinsia moja kupumuliana kisogoni na mdomoni. Na wewe utaanza hiyo "biashara" kwa sababu USA wameshaonyesha njia?