Kwa hiyo,kwa USA kufanya hivyo ndio inatoa haki ninyi kuiga? USA wanahimiza Uhuru Wa watu Wa jinsia moja kupumuliana kisogoni na mdomoni. Na wewe utaanza hiyo "biashara" kwa sababu USA wameshaonyesha njia?

Nimetumia huo mfano wa USA kwamba mwenye nguvu ndiyo anaishi na kuendeleza kizazi, hiyo ni Evolution, hata Sokwe huishi hivyo, ndo maana kuna msemo Dume la mbegu/Nyani unafikiri umetokea wapi?
Ni hivyo Nyani Dume lenye nguvu ndo huchukuwa mazuri ya Dunia kwanguvu, huwapiga wale wasio au aliowazidi nguvu na kufaidi matunda ya nguvu zake.