OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Naomba kumnukuu Mh.Tundu Lissu katika hotuba yake kwa wananchi. Tundu Lissu anasema
.......Kwa hiyo jumla ya madeni ya mwaka huu peke yake ni takriban dola
bilioni 2.5, sawa na takriban shilingi trilioni 6.245. Zaidi ya watu
wachache tu serikalini, sio Bunge wala watanzania kwa ujumla wetu
tunaojua masharti ya miikopo hii, ila tunajua tutailipa yote na riba juu
tutake tusitake! Kwa hali hii, Spika Ndugai alikosea aliposema kuna siku
nchi yetu itapigwa mnada: imeshapigwa mnada tayari, tena siku nyingi
ila bado hatujajua bei yote ya mnada huo!......
Tundu Lissu ameueleza umma kwamba haya mamikopo Bunge halijapitisha. Mimi nilikuwa najiuliza Ndugai analalamikaje kuhusu mikopo wakati yeye na bunge lake ndo wamepitisha?
Wote Ndugai na Rais Samia watueleze iweje fedha zichukuliwe kienyeji bila wananchi kujua?