Ndugai nyoosha maelezo, mikopo haikupata idhini ya Bunge!!

Ndugai nyoosha maelezo, mikopo haikupata idhini ya Bunge!!

Naomba kumnukuu Mh.Tundu Lissu katika hotuba yake kwa wananchi. Tundu Lissu anasema
.......Kwa hiyo jumla ya madeni ya mwaka huu peke yake ni takriban dola
bilioni 2.5, sawa na takriban shilingi trilioni 6.245. Zaidi ya watu
wachache tu serikalini, sio Bunge wala watanzania kwa ujumla wetu
tunaojua masharti ya miikopo hii, ila tunajua tutailipa yote na riba juu
tutake tusitake! Kwa hali hii, Spika Ndugai alikosea aliposema kuna siku
nchi yetu itapigwa mnada: imeshapigwa mnada tayari, tena siku nyingi
ila bado hatujajua bei yote ya mnada huo!......

Tundu Lissu ameueleza umma kwamba haya mamikopo Bunge halijapitisha. Mimi nilikuwa najiuliza Ndugai analalamikaje kuhusu mikopo wakati yeye na bunge lake ndo wamepitisha?
Wote Ndugai na Rais Samia watueleze iweje fedha zichukuliwe kienyeji bila wananchi kujua?
Nikiwa nimekaa hapa nikiota moto, imenijia akilini kuwa maadui wetu wa maendeleo TZ ni watatu tu.

• Uchawa ProMax wa Viongozi na Vijana wa UVCCM
• Kipaumbele Ni kwenye Next Election na sio Next Generation
• Presence of many Clueless Citizens

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu unachangia uzi upi?naona kama hujaelewa,ni kipi hujaelewa?! hoja yangu ni kwamba ni kweli bunge halijatoa idhini ya kukopa? kwa mazingira hayo kumbe Ndugai alikuwa na hoja zaidi ya wingi wa mikopo,bali ni pamoja na kuhoji bunge kutopitisha.
Msamehe bure, huyo bwana ni kama anafanya c&p na huwa hasomi content.
 
Mtaanzisha nyuzi nying sana na mtaongea maneno mengi sana ila haitasaidia kitu na wala haitapunguza nguvu ya mama 2025 lazma atachukua Nchi tena kwa kishindo

Nakwa CCm hakuna mtu wenye nguvu ya kumyumbisha Samia ktk suala lolote atakalo lifanya sababu nyuma ya samia kuna watu wakubwa sana ndan ya CCm

Sukuma gang na wengne mtaongea sana na mtaanda nyuzi nying sana humu JF ila haitowasaidia
Msukule mkuu ulishagaoza ni funza tu ndo zimebaki na mama ndo Incharge kwa sasa ad 2030
Exactly, hakuna mbwa wakumzuia Samia Hadi 2038
 
Nyuma ya Samia kuna JK ambaye ni bingwa wa mikakati ya kisiasa. Nadhani kina Ngudai na wengine loyal kwa JPM hawaujui uwezo wa mkwere kwenye siasa za mipango inayoangalia mbali na ile ya karibu.
 
Back
Top Bottom