Ndugai nyoosha maelezo, mikopo haikupata idhini ya Bunge!!

Nikiwa nimekaa hapa nikiota moto, imenijia akilini kuwa maadui wetu wa maendeleo TZ ni watatu tu.

• Uchawa ProMax wa Viongozi na Vijana wa UVCCM
• Kipaumbele Ni kwenye Next Election na sio Next Generation
• Presence of many Clueless Citizens

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu unachangia uzi upi?naona kama hujaelewa,ni kipi hujaelewa?! hoja yangu ni kwamba ni kweli bunge halijatoa idhini ya kukopa? kwa mazingira hayo kumbe Ndugai alikuwa na hoja zaidi ya wingi wa mikopo,bali ni pamoja na kuhoji bunge kutopitisha.
Msamehe bure, huyo bwana ni kama anafanya c&p na huwa hasomi content.
 
Exactly, hakuna mbwa wakumzuia Samia Hadi 2038
 
Nyuma ya Samia kuna JK ambaye ni bingwa wa mikakati ya kisiasa. Nadhani kina Ngudai na wengine loyal kwa JPM hawaujui uwezo wa mkwere kwenye siasa za mipango inayoangalia mbali na ile ya karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…