Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Dodoma ni porini bwashee!Ndugai yuko sawa kabisa yaani hawa watu wanaturudisha nyuma kuliko toka!
Kufifisha Dom ni kupi? Mbona anahangaika Sana?"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Ndugai analilia nini"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Kwa akili za Ndugai,warsha na seminar na makongamano yakifanyika yote Dom ndio inakuwa Mji mkuu?"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Hapa mama atafute namna ya kumtoa hata ikibidi kupoteza kichwa hiki,huwa ana kauli za kumpinga Sana Samia.
Hata Dar ni pori tu Mji mchafu na una slam kila sehemu sema ni sehemu ya kipiga hela za wananchi hasa hako kabandari subiri hangaya waingize chaka na bagamoyo ndo mtajua hamjui!Dodoma ni porini bwashee!
Na wale wa Chato wanasemaje? Bei ya hotel na guest house kwa sasa zimepanda?ππ"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Ndugai ahamie Burundi"....wakati fulani Dodoma ilikuwa mchaka mchaka wa hakika kuelekea kuwa Mji mkuu wa Serikali ki vitendo na hata ulipokuwa unawaangalia Viongozi wakuu wa Serikali ulikuwa unaona nyuso za haja za kulimaliza hilo mapema kabisa."
"...sasa hivi kila warsha na kongamano ni Dar!"
"...hii siyo sawasawa kabisa Dodoma ni Mji na makao makuu ya Nchi ki sheria na hata hao wanaofanya kampeni za kufifisha safari hiyo wanapoteza muda wao bure tu."
"...ndugu zangu wapende ama wasipende Dodoma ni lazima wataishi kwa sababu Bunge lilishatunga sheria na kamwe haiwezi kubadirika."
Amesema Ndugai.
Bado Ndugai na mapungufu yake lazima ukweli auseme!Hapa mama atafute namna ya kumtoa hata ikibidi kupoteza kichwa hiki,huwa ana kauli za kumpinga Sana Samia.
Hiyo kazi akabidhiwe Nampe Nnauye na mama awaambie Wabunge huyo si mwenzetu basi inapelekwa hoja binafsi ya vote of no confidence.Hapa mama atafute namna ya kumtoa hata ikibidi kupoteza kichwa hiki,huwa ana kauli za kumpinga Sana Samia.
Karbu na UWEKEZE DODOMA MkuuDodoma ni porini bwashee!
Wakati anakuingiza Chaka wewe utakuwa unakenua Kona ipi?Hata Dar ni pori tu Mji mchafu na una slam kila sehemu sema ni sehemu ya kipiga hela za wananchi hasa hako kabandari subiri hangaya waingize chaka na bagamoyo ndo mtajua hamjui!
Yani anadhubutu kumpiga kijembe Rais na Amiri jeshi mkuu......