Ndugai: Uhuru wa kukusanyika ni upi?

Ndugai: Uhuru wa kukusanyika ni upi?

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kiongozi wa Mihimili katika mitatu ya utawala iliyopo, Mheshimiwa Job Ndugai amesikika akihoji:



Kwamba kiongozi Mkuu wa bunge linalotunga sheria haujui uhuru huo. Labda hata wale vinara wa mihimili mingine nao yawezekana hawaujui na walipo wanashangaa!

Isimfikirishe mtu namna gani kuwa labda hata watunga sheria nao hawazijui na wala hawatambui kama haki hizo zinakanyagwa?

Ama kweli safari bado!
 
😳😳😳😳
Hata mimi simwelewi, sikui ni haraka zake au ni mahaba yake na anachotaka kuwakilisha.
Mchawi mwenye kengele shingoni hana madhara usukani 😁😁
 
Hakuna anachojua huyo, uhuru wa kuchagua haujui, yeye huwatandika wapinzani wake viboko jimboni mpaka wanazimia ndio maana hupita bila kupingwa kila mara, mtu mwenye tabia hizi hata asipojua sheria nyingine simshangai kama hata inayomhusu haifuati.
 
japo sijaelewa hoja, ila Ndugai ajitafakari.
 
Weledi wa kitanzania kazini.

Hawana lolote hao. Uzuri ni kuwa mchawi tunamjua vyema mno kuliko wakati mwingine wowote.

Tuutambue mzizi wa machungu yetu nchini

Wapo mahakamani, polisi hadi JF.

Kuujua mzizi ulipo na kuwatia kengele paka hawa ni hatua muhimu sana.

Mwenye lake jambo hapa si CCM, Samia au JK ni hii mijitu isiyojulikana.
 
Ndugai nae anatafuta namna ya kuweza kuonekana mbele ya Hangaya. Yaani anakemea mambo ya hivyo kwenye mikusanyiko wakati yeye mwenyewe kawakusanya watu/waandishi habari kuwaambia mambo ya hovyo. Upuuzi mtupu.
 
Bunge kibogoyo wewe uliona wapi sheria ya tozo watunge wao halafu waje kulia wao kua hawakujua kama ni tozo, watu wa namna ile kamwe hawawezi kua na msaada kwa Taifa.

Ndio maana sio wasimamizi wa serikali wamebaki kua wabia wa serikali yaani bunge kosa liisimamie serikali lenyewe linafanya kazi kwa umoja na serikali na kuwaacha wananchi peke yao
 
FB_IMG_1635161387465.jpg
 
Back
Top Bottom