Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Zuzu apuuzwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
japo sijaelewa hoja, ila Ndugai ajitafakari.
Hadi kieleweke, katiba mpya, time huru ya uchaguzi na uhuru kamili Kwa watu katika nyanja mbalimbali, Yani kukoma Kwa ukaburu wa mtu mweusi. 😂.Maoni yao tu ni kengele tosha.
Habari mbaya kwao ni kuwa kwenye reli hatutoki 😁😁.
Au yupo windo la kutafuta wakubambikia🏃.Kutokuwa hoja si jambo geni. Usipoelewa unasoma tena.
Usipoelewa unasoma tena.
Kumbuka kuwa wengi wao hawakuchaguliwa na wananchi kwanzia kwenye mchakato wa kura za maoni hadi uchaguzi mkuu.Bunge kibogoyo wewe uliona wapi sheria ya tozo watunge wao halafu waje kulia wao kua hawakujua kama ni tozo, watu wa namna ile kamwe hawawezi kua na msaada kwa Taifa...
Hadi kieleweke, katiba mpya, time huru ya uchaguzi na uhuru kamili Kwa watu katika nyanja mbalimbali, Yani kukoma Kwa ukaburu wa mtu mweusi. 😂.
Au yupo windo la kutafuta wakubambikia🏃.
Wala keki ya taifa kilafi huku wakiwashika wenzao mikono sio.Nia ni kutuondoa kwenye hoja. Kwa hilo watach*mbia hata moto.
Adui yetu ni wao wala si mwingine.
Ila lenye kutoa sauti ya kusikika.Sabufa zuzu
japo sijaelewa hoja, ila Ndugai ajitafakari.
Wachimbuliwe wote , hata mawe yageuzwe.Wanakereka sana kuwa tumewatambua:
Kwa majina yao wako humu:
Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa
Watuswamehe tuliowashuku wasiokuwemo. Mwenyekiti wa Shina CCM Kilimatinde ananini cha kufanya na kesi au hukumu za kubumbwa kwa Mbowe?
Kiongozi huyo wa Shina ana nini cha kufanya na Lijenje, Ben, Azory au kushambuliwa Lissu?
Tuko chobingo kukusanya orodha yao kwa ajili ya "new release."
Mkuu, brazajHawana lolote hao. Uzuri ni kuwa mchawi tunamjua vyema mno kuliko wakati mwingine wowote.
Tuutambue mzizi wa machungu yetu nchini
Wapo mahakamani, polisi hadi JF.
Kuujua mzizi ulipo na kuwatia kengele paka hawa ni hatua muhimu sana.
Mwenye lake jambo hapa si CCM, Samia au JK ni hii mijitu isiyojulikana.
Amejaa uzuzu tupuHuyo ni ZUZU kama alivyo fafanua CAG aliyeondolewa kazini kinyume na katiba Profesa makini Assad.
Hizi kauli zake za sasa ni katika kutuzibitishia kuwa yeye ni ZUZU kweli mkuu wa MAZUZU wa mjengoni
99% wameelewa hiyo mada,ni wewe tuu na manazi wenzako wa CCM mnajifanya hamjaelewa, ujinga wa CCM umewaingia mpaka mmepoteza akili kabisaHaa aliyeelewa hoja ya mleta mada atufafanulie jamani
Kumbuka kuwa wengi wao hawakuchaguliwa na wananchi kwanzia kwenye mchakato wa kura za maoni hadi uchaguzi mkuu. Aliyewachagua ni Kiongozi Mkuu wa ule Mihimili uliojichimbia chini kuliko Mihimili mingine. Hivyo lazima wamtumikie/wamfurahishe yeye.
Wananchi tuamkeni tudai Katiba Mpya.