wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Katika hali ya kuumiza na kushangaza bwana Braison Mongi na Benson Mongi akiwa na ndugu yoa mwingine (jina la mwisho Mongi, walimpiga mdogo wao wa mwisho anaeitwa Dany hadi kumpelekea umati.
Tukio liko hivi...
Huyu marehemu enzi za uhai wake aliafunzwa kazi ya kutengeneza magari hadi akaju,alipojua akaacha ile kazi. Hawa kaka zake wate ni mafunzi seremala, mmoja anachonga vitanda pale kimara suka kituo cha daladala (mkono wa kulia kama unaenda mbezi)na huyu Beny nae Kibamba CCM (mkono wa kulia )hiyo mwingine nae yuko Mwenge.
Marehemu inasemekana mwezi wa 12 aliuza vitanda 3 ya huyu kaka yake (Braison)akakimbilia kijijini kwao huko Moshi. Huko kijijini marehemu akaanza tabia ya wizi na udokozi na kumsumbua sana mama yake mzazi, Ilipofika mwezi wa 2 mwaka huu hawa ndugu(Braison na Beny walimwita mdago wao mjini (Dar es Saalam) na kuanza kumfundisha kazi.
Tarehe 20 mwezi wa 2 walimpeleka Kibamba kwa kaka yao mdogo. (Beny)wakamnunulia supu na nyama akala akashiba (kumbe washapanga wanampa adhabu kali sana), basi marehemu alikula akashiba na akanywa baada ya hapo walimkamata wakaingiza ndani wakafunga mlango ndipo walipoanza kumshushia kichapo, majirani waliokuwa pale lile tukio waliliona.
Kichapo kilizidi hadi Dany akafariki, hawa wapigaji walipoona mtu katulia walimfunika chini na kanga hadi giza likaingia ingia wakaenda chukua bajaji ile bajaji ilipofika dereva alipoona mwili alikataa kubeba, wakaenda chukua kirikuu wakabeba mwili wakaenda tupa pori la hospitali ya Mloganzila ndipo mwili ulipookotwa ukapelekwa mochwari Mloganzira.
Baada ya kufanya hivyo, hawa wapigaji/wauaji waliendelea na shughuli zao za uzalishaji mpaka juzi Jumamosi raia wema(majirani walipoenda polisi kutoa taarifa.
Na baada ya taarifa polisi walifuatilia na kukuta ni kweli mpaka hapo walipopata data kamili za wauaji na ndipo huyu Braison akakamatwa ila Beny na huyu mwingine wako mafichoni bado wanatafutwa.
Mpaka sasa mwili bado uko Mloganzila, huku Braison akiwa mahabusu, Beny na mwezake wanatafutwa.