Bora watuambie tuendelee kusifiaNayakubali maelezo yako mazuri.
Nafahamu pia kuwa ukweli ni kinga ya mashitaka ya aina hiyo.
(Nitafurahi ukiielezea hapa kuwa "truth is defense against ....)
Watanzania tumeingiwa na hofu kuu ya kusema ukweli katika miaka hii mitano, kiasi kwamba kumsikiliza Tundu Lissu akisema ukweli hadharani, damu inatusisimka kwa woga.
Hiki ndicho kinachomtokea Balile na wenzake.
Tutofautishe matusi na ukweli.
Ukweli siyo matusi.
Hasa ukweli huo unapowahusu wakubwa ambao hawataki kusemwa.
Kwa desturi zetu na tafsiri zetu kuhusu matusi, nadhani kwa wagombea wetu, hakuna mgombea anayemzidi Rais Magufuli kwa matusi.
1) Alimtukana mkurugenzi wa halmashauri kwenye mkutano wa hadhara kuwa ni mpumbavu
2) Alikiri hadharani kuwa amekuwa akimtukana Kabudi na Mpango kuwa ni wapumbavu, mara nyingi
3) Alimwambia mzee aliyempa jogoo kuwa mama yake angekuwa hajambo, angempa yule mzee wa jogoo, mama yake mzazi. Kwa desturi zetu mtoto hawezi kumtafutia mume mama yake mzazi
Na mara nyingi amewahi kutoa kauli tata za ubaguzi au amri zinazokiuka katiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unachogomba ni nini? si utakuwa umeshasikiliza hayo matusi moja kwa moja.NIMESIKILIZA tamko la jukwaa la wahariri Tanzania kupitia ndugu Balile wakidai kuwa hawataripoti matusi ya wagombea, sisi wanachi tungependa kuwajulisha nyinyi wahariri ya kuwa msituchagulie nini cha kusikiliza na msiwachagulie wagombea nini cha kutueleza sisi.
Kama matusi ni sehemu ya sera basi acha sisi tuambiwe nyinyi kazi yenu ni kuripoti na si vinginevyo.
Mbona mnaripoti habari za mwanamke mmoja kubakwa na midume minne kwa kutumia kondom?
Sisi wananchi tunazo akili msituchagulie mtuache sisi tuchague mbichi na mbivu.
Mnapokimbilia tunapojua wagombea wakisema uongozi uliopita haukufaa nyie mtasema hayo ni matusi kisa utawala HUO ulilipa sanaa madeni ya jamhuri.
Mbona mna mashaka kama mnajua hamtatoa matusi, wasiwasi wa nini?Balile angetutajia kwa mfano tusi hata moja ambalo limetoka kwa mgombea yeyote toka mchakato wa teuzi zianze.
Siyo kila mtu anatoka alikotoka eti tunataka sera hatutaki matusi, wakiulizwa alietukana kimya, tusi lenyewe holaa.
Mbona uchaguzi wa awamu hii una masharti adi maneno ya kuongea wanapangiwa wagombea? Hizo sera zinasimamiwa na kutekelezwa na watu sasa kama huwezi kumkosoa mwenye sera mbovu au aliyeshindwa kuzitekeleza kosa lipo wapi? 2015 baada ya uchaguzi tuliambiwa hakuna siasa mpaka 2020, imefika 2020 tena tunaambiwa hakuna kumtaja wala kumkosoa mtu ni kutoa sera tu jinsi utakavyofanya ukipata ridhaa. Kwanini ni amamu hii tu ndiyo tupangiane adi vya kusema kwa wananchi?
Wewe unasema matusi hayaruhusiwi lakini hapohapo unasema Lisu "anabweka" je hilo sio tusi? Maana wote tunajua anayebweka ni mbwa sio binadamu.Sasa mbona Lisu anabweka kulalamika kuwa magazeti hayamwandiki kulikoni Kama hamsomi si angenyamaza
Hawa wote ni CCMNIMESIKILIZA tamko la jukwaa la wahariri Tanzania kupitia ndugu Balile wakidai kuwa hawataripoti matusi ya wagombea, sisi wanachi tungependa kuwajulisha nyinyi wahariri ya kuwa msituchagulie nini cha kusikiliza na msiwachagulie wagombea nini cha kutueleza sisi.
Kama matusi ni sehemu ya sera basi acha sisi tuambiwe nyinyi kazi yenu ni kuripoti na si vinginevyo.
Mbona mnaripoti habari za mwanamke mmoja kubakwa na midume minne kwa kutumia kondom?
Sisi wananchi tunazo akili msituchagulie mtuache sisi tuchague mbichi na mbivu.
Mnapokimbilia tunapojua wagombea wakisema uongozi uliopita haukufaa nyie mtasema hayo ni matusi kisa utawala HUO ulilipa sanaa madeni ya jamhuri.
Kubweka Ni kupiga miyowe isiyo na pointWewe unasema matusi hayaruhusiwi lakini hapohapo unasema Lisu "anabweka" je hilo sio tusi? Maana wote tunajua anayebweka ni mbwa sio binadamu.
Matusi ni nini? Mtua aliambiwa ana Phd fake ni tusi au ni hoja inayotakiwa kujibiwaMatusi hayakubaliki mkuu
Taja kwa mifano hayo yaitwayo matusi, manake iseje kuwa ukweli mchungu ukauita matusi.Katiba ya nchi inatamka wazi kuwa kila mtu anastahili heshima na kuthaminiwa utu wake.Kumtukana mtu Ni kuvunja katiba. Matusi hayaruhusiwi na katiba.Hayo hakuagiza Balile Ni katiba ya nchi imeagiza
Yuko sahihi Balile. Vyombo vya habari haviwezi kuvunja katiba kwa kuandika matusi watafungiwa na TCRA
Kwanza magazeti yenyewe unakuta yamehaririwa hadi yamepoteza ile taarifa halisi. Yaani unahabarishwa kile ambacho Balile anapenda ukipate siyo kile kinachotokea au kilichotokea.Hivi hadi leo hii kuna mtu anategemea mainstream media kupata habari?
Hiyo ilikua zamani, ujio wa social media ndio kifo cha mainstream media.
Leo hii kwa kutumia social media wanasiasa wanaweza ku-fight back any negative news dhidi yao na watu wakapata habari haraka iwezekanavyo.
Nina mwaka wa 6 sijawahi kusoma gazeti wala hata kulinunua.
Balile siku hizi hatusomi hayo magazeti yenu
Hivi hata hayo magazeti nani anasoma siku hizi?Katika mtanange huu tunategemea watu watanadi sera zao, watu wataonyesha ubovu wa wapinza ni wao. Sasa unaposema mtu asimu-attack mtu hapo ndio penye utata. Ubovu uko kwenye sera na pia utendaji pamoja na kukiuka katiba na sheria. Kwa mfano mtu anaekuja na sheria zake na kutaka lazima wengine wazifuate na ni kinyume cha sheria na katiba yetu akiitwa dikiteta utasema katukanwa?
Kuna tatizo la mazoea, watanzania huko nyuma kuna lugha tumezizoea sasa mtu akija na lugha tofauti utasikia ametukana wakati kwa mtu mwingine haoni tusi. Hatukuzoea kwa ujumla kumsikia raisi ana nangwa, sasa raisi wetu akinangwa watu wanapiga kelele, kuwa katukanwa.
Uvumilivu unatakiwa pande zote lakini si sawa kwa wahariri kutishia vyama vya siasa na kutaka kuvielekeza nini kisemwe. Wahariri hawa hawa ambao wamemute, mambo yanatokea mbele yao wao hawa yaoni. Hakuna jipya kama hawataki wafunge kabisa au wahamie huko wanako ona kuko shwari.
Uweke na ushahidi Bila ushahidi wa kisheria ni tusi . Ukisema hivyo ambatanisha wewe mwenyewe ushahidi wa viambatanisho vya kisheria vya Hilo unalolisema Sio unaibuka tu unamwambia mtu una PhD fake Halafu unasema Kama unabisha lete ushahidi Kama Huna PhD fake!!! .Wewe uliyetoa hizo tuhuma ndio unatakiwa unapotamka kuwa mtu ana PhD fake uambatanishe na vielelezo vyako vya ushahidi wa kisheria. Vinginevyo unachukuliwa kuwa umemtukana mtu na vyombo vya habari haviwezi ripoti huo ujinga usiokuwa na ushahidi wa viambatanisho vya kisheria vya kuthibitisha Hilo ulilosemaMatusi ni nini? Mtua aliambiwa ana Phd fake ni tusi au ni hoja inayotakiwa kujibiwa
Mfano unasema ofisi za Chadema zilichomwa na CCM bila ushahidi wa kisheria uliothibitishwa na mahakama Hilo linahesabika kuwa tusi kwa CCMTaja kwa mifano hayo yaitwayo matusi, manake iseje kuwa ukweli mchungu ukauita matusi.
Basi kuna matusi mengi sana hapa nchini kwa hii definition uliyotowa! Na si rahisi kumaliza wiki bila kutoa tusiMfano unasema ofisi za Chadema zilichomwa na CCM bila ushahidi wa kisheria uliothibitishwa na mahakama Hilo linahesabika kuwa tusi kwa CCM
Au unasema Lisu alushambuliwa na serikali bila ushahidi uliothibitishwa na mahakama huko Ni kutukana serikali
Tuhuma zozote zisizo na ushahidi wa kisheria na kimahakama ni matusi
Ukweli mwingine hauhitaji ushahidi, maana uko wazi.Hiyo post yangu uliyokwote ina maneno "....bila kuwa na ushahidi." Ukiwa na ushahidi independent hayo siyo matusi, ushahidi wa kutengenezwa kwa makusudi bila kuwa wa kweli huwa haukubaliki.
Huo ndio ushahidi wa matumizi ya lugha za matusi dhidi ya mgombea mwingine?Ukweli mwingine hauhitaji ushahidi, maana uko wazi.
Unataka ushahidi wa namna gani kuhusu ujenzi wa Reli mpya ya umeme, SGR?
Unataka ushahidi gani wa kujenga "interchange Ubungo"?
Unataka ushahidi gani wa kujenga " International Airport Chato"?
Unataka ushahidi gani wa kuanzisha National Park Rubondo?
Tanzania ni Nchi yetu sisi sote.
Hakuna mwenye Hakimiliki ya Nchi yetu zaidi ya mwingine.
Tudumishe na tuimarishe uzalendo.
Na msingi mkuu wa uzalendo ni kuelezana ukweli.
Ukweli mtamu na ukweli mchungu.
Itakuwa na wewe ndiyo wale wale mnaonufaika na ukabila na ukanda wa John. Nyambafufumanga!Acha kuleta ukabila.. huwa wepesi sana kujisahau chadomo.. wengine wakifanya ukabila mtaanza mdomo.