Uchaguzi 2020 Ndugu Balile na wenzako, Vyombo vyenu havipigi kura msiwachagulie wagombea na wachaguaji nini cha kuambiwa, hatutaki

Huyu ni type ya wale kina mitungi
 
Hao washenzi wanaojiita wana jukwaa la uarisho wakome kutupangia cha kusikiliza.

Wao kama wameamua ku ripoti habari za ccm tu , waendelee na moto huo huo.
 
Huyu ndio "sifi leo". Kama una swali muulize, ila naomba atueleze kwake matusi ni kama hayo anayosema ya hiyo taarifa kwa umma? Hiyo ni news kwa jamii kuonyesha uozo wa jamii yetu na mmomonyoko wa maadili. Matusi ya wagombea wenu hamtayasoma wala kuyasikia kwenye vyombo vya habari; bali nendeni mkayasikilize huko majukwaani na myashangilie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…