Ndugu Bashe, ulimaanisha nini uliposema Mashamba ya kulima miwa yabadilishwe yawe ya mpunga?

Ni kauli ya kifedhuri, kibri, jeuri, na dharau kubwa sana.
Sijui nini kimempata Bashe!!
RUSHWA ni cancer, Ina TABIA ya kushambulia ufahamu,

Ndugu Lipumba , Zittow,walikuwa fire enzi zile,

Saiz hata kupata watu 50 wa kuwasikiliza ni mtihani.
 
Sijui nini kimempata Bashe!!

Ni shinikizo, au ufahamu wake umetekwa!!

Na hatumii kilevi kusema kwamba labda alitamka hayo sababu ya ulevi wa pombe!!

Asingeweza kusema au kutenda kinyume na alivyotumwa, kumbuka maneno ya Balozi Ami kuwa ukiona vitoto vya Simba porini vinacheza usikurupuke kwanza angalia mama au baba yao yupo wapi
 
Kama hayawafaidii wananchi kupata sukari kwa gharama nafuu yana faida gani?
 
Dh
Dharau. Utamfanyaje ilhali kateuliwa na mama?
 
Rais anasema kuagiza sukari nje ni kuipa Nchi HASARA.

Sasa unaonaje ukijiuzulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…