Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
We acha tu dada yangu yani hapa nikipiga mahesabu ya watu ninaowadai naweza hata jenga kakibanda mjini lakini sijui napataga waoi roho hiyo mana kuna wakati nasemaSio ndugu tu hata rafiki ukitaka kugombana nae mkopeshe
Mm nikishamkopesha rafiki najisemea tu anilipe sawa asinilipe sawa
Msamehe tu ndg hawalipagi wanajua huwezi mfanya chochote kibayaHii ni kweli. Kuna shangazi yangu namdai laki moja mpaka leo kulipa hataki.
What is all about?
Unamkopesha mtu kwa roho moja tu mwisho wa siku anakununia ghafla tu anajishtukia tu sababu anadaiwaWe acha tu dada yangu yani hapa nikipiga mahesabu ya watu ninaowadai naweza hata jenga kakibanda mjini lakini sijui napataga waoi roho hiyo mana kuna wakati nasema
It's enough now sikopeshi tena but anakuja mtu analia shida unamhurumia unamkopesha unarushwa.
Ila ni tabia mbovu bhana. Sasa alishindwaje kusema naomba?. Nimejifunza kweli nitanya Kama alivyoshauri mtoa Uzi.Msamehe tu ndg hawalipagi wanajua huwezi mfanya chochote kibaya
Nikopeshe elf kumi mkuuMtu yeyote akija na shida ya kutaka kukopa ukampa na hajarudisha basi unamwachia Mungu tu,shida hazinaga mwisho
Nikopeshe elf kumi mkuu
Kweli kabisaKama hela ipo mpe tu. Akirudisha poa asiporudisha poa tu. Maisha yanasonga ina siku huwezi kujua yeye atakusaidiaje.
Maana unaweza kumkazia leo alafu kesho na kesho kutwa ukapigika ukakosa pakukimbilia.
Watu wengi huwa wanajisahaulisha hilo jambo. Ndio maana unaweza kuta mtu anataabika hana hata mia na hana msaada unajiuliza huyu hana hata ndugu?Kweli kabisa
Dizaini hii wapo wengi sanaWatu wengi huwa wanajisahaulisha hilo jambo. Ndio maana unaweza kuta mtu anataabika hana hata mia na hana msaada unajiuliza huyu hana hata ndugu?
Kumbe ndio wale wale walijaliwa wakawaona ndugu maboya, upepo umebadilika ndio wanaanza kuanya anya.
Tena kama ni kwenye biashara huyo automaticaly unakuwa umemfukuzaUnamkopesha mtu kwa roho moja tu mwisho wa siku anakununia ghafla tu anajishtukia tu sababu anadaiwa
Mtu yeyote akija na shida ya kutaka kukopa ukampa na hajarudisha basi unamwachia Mungu tu,shida hazinaga mwisho