Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Ndugu akikuazima hela kama unayo mpe tu but mwambie nimekukopesha ili asipokulipa next time ashindwe kukukopa tena.
Na kama hela unakazi nayo ndani ya mda mfupi ujao mwambie tu Dada/kaka hali ngumu sina japo hawaaminigi kuwa wengine wanakosa.
NB
Ili uendeleze mahusiano na ndg yako ni bora tu utoe kama msaada/support na si kama mkopo wa mwisho wa mwezi nitalipa mwisho wa siku mtakuwa hamwelewani.