Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

Kabisa, Paschal Mayala mie nakufahamu sana
Ni uandishi wa kichokonozi wa hali ya juu kabisa,tena unazingatia wakati na majira yenyewe, maana wali waandishi wetu wakawaida wangeandika kwa uandishi wao sasa hivi wangekuwa central kwa kutumia kale kasheria ketu, wandishi andikine kwa utalaam huu, ujumbe utafika na jela mtaiepuka. Unajua hata mwandishi wa kusadikika alivyokuwa anamsifia waziri mkuu, usipokuwa na akili utadhani haswaa, waziri mkuu..., kumbe, kinyume chake,.Safi sana ukukaya
 

Tuliojaaliwa ' Upeo ' wa ' kutukuka ' tumeshajua umeanzisha huu ' uzi ' ukiwa na lengo gani / lipi haswa. Nilitaka nishangae kama Uongozi tu huu wa Awamu ya Tano wa Nduguyo ( Msukuma )Rais JPM ' huupendi ' na hata ' maandiko ' yako mbalimbali yanaonyesha hivyo iweje leo tena ujitokeze katika kutaka ' kumsafisha ' RC Makonda ambaye kimsingi ameteuliwa na huyo huyo mwenye Serikali yake ya sasa na unayemchukia na kumbeza kila uchao.

Kuna Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema kuwa ni " kheri uchukiwe na Wachawi 100 kuliko kupendwa na Mnafiki 1 " na nilikuwa simwelewi ila baada ya kuja katika huu ' uzi ' wako sasa nimemwelewa vizuri mno.
 
Huu uzi siyo kabisa akija hapa mke ya mzungu utasikia,ila hapa haujataka kusaidia bali sasa umeamua kufichua...na miongo iliyopita kuanzia utawala wa kwanza watu walinunua sana nafasi za watu smbao hawakuwa na mwamko washule au kushindwa kugharamia au kurudia shule.
 
Hahahahah....Mkuu Paskali nilitaka nikurupuke kukutukana na nilikuwa nipo tayari nipigwe Ban....nimeshtuka...huu uzi mwenye akili pekee ndio atakuelewa...Naunga mkono hoja
 
Mbafuuu sanguuu wee
 
Sisi wana TANU wa zamani iliyokuja kuzaa mtoto mtukutu ccm tulikuwa tunaamini "Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko"
Kiongozi yeyote asemaye uongo kuhusu maisha yake hawezi kuwa mkweli kuhusu maisha ya wengine. Huyu bwana atoe taarifa zake za majina, elimu na maisha yake kwa uwazi. Kama kadanganya basi ni muongo, mtu afanyaye mambo kwa ujanja ujanja na muhuni ambaye anapewa vyeo kwa maslahi ya wanao muweka katika nafasi hizo.
Na kama ni kweli hiyo scandle ya majina na matumizi ya vyeti basi hata zile tuhuma kuwa anafadhiliwa na watu wabaya kupata utajiri ili atumike watakavyo basi nazo zitakuwa za kweli.
Hiyo ni aibu sana kwake na kwa huyo ampaye vyeo kwani naye atakuwa anashiriki uongo huo ambao tayari unajulikana. Haya sasa hao "wapenda vioja" waje wamtetee kwa kusema ukweli ni upi?
 
Hakuna haja ya kumtetea yeye mwenyewe atajitetea kwani anajua primary alisoma wapi na secondary alisoma wapi na pia anaweka matokeo yake. Kwani wakina Mwigulu wao walivyo tuhumiwa kuhusu vyeti nayo ilikuwa ni kwasababu ya madawa ya kulevya?
 
Mmmh mi napita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…