ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,149
- 2,835
Ohh masikini umetia huruma mnoo.Halafu Makonda mwenyewe hana hata habari na uzushi wala hana stress yuko 100% free mind anasukuma ndinga kali na kula bata viwanja vikali na Ulinzi wa kutosha, ukijichanganya unakula ya Fuvu
RC Makonda anatakiwa aonge na waandishi wa habari.Wakili wa Gharib ameshaweka kila kitu hadharaniAsante Sana kwa taarifa hii, naomba Mimi Mwanajeiefu mwenzenu, niwe mtu wa kwanza kuwajulisha kuwa hii vita ya kutaka kumdhalilisha mpakwa mafuta wa Beans, Paul Makonda, sasa ndio mwanzo WA mwisho wa hasidi huyu!. Karma ndio itamaliza kila kitu. Simaanishi Makonda ni malaika, bali, ni binaadamu kama binadamu wengine, hakuna mkamilifu, hivyo na yeye kuna makosa ametenda na tayari karma imeisha mshughulikia, hivyo kwa maonevu anayotendewa na hasidi huyu, ni Mungu, Baba ndiye atamlipia.
Kwanza mafanikio yake ni kutoka kwa Mungu.
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Wanabodi, Ukiisikia simulizi za historia ya Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda, tangu kuzaliwa, alipotoka, mapito aliyopitia na hadi sasa alipo, na kuifikiria picha ya anapokwenda, baada ya kusoma makala hii na kusikiliza masimulizi haya, mtakubaliana na mimi kuwa, huyu Paul Makonda ni...www.jamiiforums.com
Kisha, Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Hivyo, hata kampeni batili ya kutaka kumpora kiwanja, ni upepo tuu na utapita.
Watu kumfanyia fitna na majungu, Makonda, hawakuanza leo
Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
Wanabodi. Naanza na kanuni ya haki duniani inayoitwa "the presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani, na mahakama yenye mamlaka sahihi, hivyo Paul Christian Makonda anaendelea kuwa ni Paul Christian Makonda na Mkuu...www.jamiiforums.com
Yote haya yatapita, na Makonda atasimama.
P
StupidWanabodi,
Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali, ikiwemo vita hii v kubwa ya dhidi ya madawa ya kulevya yanayowaharibu vijana wetu na kupoteza nguvu kazi muhimu ya taifa.
Makonda ameamua kulivalia njuga tatizo hili kwa kujitoa mhanga kuwaumbua kwa kuwataja wazi wazi na hadharani wabwia unga, wauza unga na mapapa wa mihadarati, jambo lililowaogopesha wauza unga, hivyo kuamua kumchafua Makonda kwa kila aina ya uongo.
Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga kupitia kwao na vibaraka wao na wapambe wao kumsingizia uongo. Paul Makonda kuwa ameghushi majina, amegushi vyeti, amejiunga na kusoma chuo kikuu kwa cheti cha kughushi na mpaka sasa anatumia majina ya kughushi!.
Tangu mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam awaumbue wauza unga wakuu kwa kuwataja majina hadharani, live, tena bila kupepesa macho wala kumungunya maneno, mafisadi hawa, vibaraka wao, wapambe wao, makuwadi wa ufisadi na wale wote wasiolitakia mema taifa hili, wameanza kampeni chafu ya kumvunja moyo na kumkatisha tamaa Makonda kwa kumzushia kila aina ya uongo.
Sisi tunaounga mkono vita hii, tunamsisitiza akaze uzi na asitetereke, wala asipoteze muda wake wa thamani kujibu uongo wowote wa kwenye mitandao, yeye achape tuu kazi, na majibu ya tuhuma zinazoelekezwa kwake, hazina haja kabisa ya kujibiwa na Makonda mwenyewe bali ndugu zake na marafiki zake wenye nia njema na taifa hili, wanaweza kutusaidia kumjibia.
Maswali ni haya.
Majibu ya maswali hayo, yatawakata kabisa vilimilimi wale wote wanaotaka kumzushia kuwa Paul Christian Makonda, hakusoma sekondari, alipata Div. 0 na kwamba aliiba cheti cha mtu!.
- Pauli Christian Makonda alizaliwa lini, wapi, na nani, alipewa jina gani alipozaliwa?.
- Majina matatu ya baba mzazi wa Paul Christian Makonda, yaani Mzee Makonda ( baba) ni nani?.
- Pauli Christian Makonda alianza shule Kolomije, Jee aliandikishwa kwa majina matatu ya yapi?.
- Alipohama shule ya Kolomije akiwa darasa la 4 na kuhamia Mwanza, alihama kwa majina gani ? .
- Alimaliza darasa la 7 mwka gani na matokeo yake?,
- Baada ya kumaliza la 7 alijiunga na sekondari gani mwaka gani na kwa majina gani?.
- Alimaliza sekondari lini na matokeo yake ni yapi, hivyo sasa ana cheti cha kuhitimu cha NECTA kina majina gani?.
- Alipomaliza alijiunga na Chuo cha uvuvi Nyegezi, jee alijiunga lini kwa kozi gani na kwa majina gani?.
- Baada ya Nyegezi alijiunga chuo cha uvuvi cha Mbegani mwaka gani, kozo gani na kwa majina gani? .
- Baada ya Mbegani alijiunga chuo kikuu cha ushirika, mwaka gani, kozi gani kwa majina gani?.
Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda Kwenye Vita ya hii ya madawa ya kulevya dhidi ya mapapa wa madawa wanaotaka kumchafua Makonda wetu.
Paskali.
Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.
Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.
P
Update 3 -20/02/2020
Leo February 20/02/2020 ni miaka 3 tangu bandiko hili lipande, nikisisitiza tumtete Makonda. Hata hili sakata la kunyima viza kuingia Marekani kwa kumsingizia mambo ya uongo, ni muendelezo tuu, hivyo wote wenye mapenzi mema na taifa letu, tusikubali, tujitokeze kumtetea kwa kupangua hoja kwa hoja, tuhuma zote zilizoelekezwa kwake na mabeberu hawa wa Marekani, kwa kuanza na kuipa hongera serikali yetu kuwapuuza na kutowajibu chochote huku Makonda akiendelea kupiga kazi.
P
Ni mjinga sana na hajawahi kuwa na msimamo wakeNishaandika humu mtoto wa nyoka ni nyoka hata kama atakuwa na rangi tofauti. Pascal mayala Hawaii kubadilika Maana amekulia katika unafiki na atabaki kuwa mnafiki
Pasco, kweli huyu ni mpakwa mafuta? Mpaka kwenye documeee!
View attachment 2147706
Yaani muhuri chini kisha picha juu,huyu afisa alikubali vipi kugonga muhuri, wakati fomu haijakamilika?? Maana yake hapo fomu ilienda bila picha ikagongwa kisha picha ikawekwa baadae.. mimi nasema huu ni UHUNIPasco, kweli huyu ni mpakwa mafuta? Mpaka kwenye documeee!
View attachment 2147706
Alishazoea fojali,kaibia serikali kwa kujipatia ajira kwa vyeti feki,ccm Ina dabo standard wengine wamefukuzwa ye kabakiYaani muhuri chini kisha picha juu,huyu afisa alikubali vipi kugonga muhuri, wakati fomu haijakamilika?? Maana yake hapo fomu ilienda bila picha ikagongwa kisha picha ikawekwa baadae.. mimi nasema huu ni UHUNI
Na kwa kuongezea kama alishiriki kwa namna yeyote kumdhalilisha yule mzee pale Ilala awamu ile ya Kikwete basi ajue atapata tabu sana na wenzie maisha yao yote !! Karma is a bitch !!The bill is due. Makonda must pay.
comarde, i stand with few who believe in Justice, let him be prosecutedAsante Sana kwa taarifa hii, naomba Mimi Mwanajeiefu mwenzenu, niwe mtu wa kwanza kuwajulisha kuwa hii vita ya kutaka kumdhalilisha mpakwa mafuta wa Beans, Paul Makonda, sasa ndio mwanzo WA mwisho wa hasidi huyu!. Karma ndio itamaliza kila kitu. Simaanishi Makonda ni malaika, bali, ni binaadamu kama binadamu wengine, hakuna mkamilifu, hivyo na yeye kuna makosa ametenda na tayari karma imeisha mshughulikia, hivyo kwa maonevu anayotendewa na hasidi huyu, ni Mungu, Baba ndiye atamlipia.
Kwanza mafanikio yake ni kutoka kwa Mungu.
Mafanikio ya Makonda ni Uthibitisho Wa Jiwe walilolikataa Waashi litafanywa kuwa Jiwe Kuu la Pembeni
Wanabodi, Ukiisikia simulizi za historia ya Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda, tangu kuzaliwa, alipotoka, mapito aliyopitia na hadi sasa alipo, na kuifikiria picha ya anapokwenda, baada ya kusoma makala hii na kusikiliza masimulizi haya, mtakubaliana na mimi kuwa, huyu Paul Makonda ni...www.jamiiforums.com
Kisha, Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!
Hivyo, hata kampeni batili ya kutaka kumpora kiwanja, ni upepo tuu na utapita.
Watu kumfanyia fitna na majungu, Makonda, hawakuanza leo
Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze
Wanabodi. Naanza na kanuni ya haki duniani inayoitwa "the presumption of innocence until proven guilty" Yaani mtuhumiwa yoyote anahesabiwa kuwa hana hatia hadi atakapotiwa hatiani, na mahakama yenye mamlaka sahihi, hivyo Paul Christian Makonda anaendelea kuwa ni Paul Christian Makonda na Mkuu...www.jamiiforums.com
Yote haya yatapita, na Makonda atasimama.
P
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupitia mtandao wa Instagram amechapisha akilalamika kuwa kuna makundi 5 ya watu wanaopanga kumuangamiza.
Makonda amesema makundi hayo yanataka kuhakikisha anapata kesi ya uhujumu uchumi au auwawe kabisa kwa manufaa yao binafsi.
"Nafahamu pia juu ya mbinu zinazoandaliwa ili kuniuwa kwa faida a familia zao pamoja na kutengeneza mashaidi wa uongo ili mnipe kesi ya uhujumu uchumi" Makonda ameandika.
Aidha makonda amebainisha makundi hayo yanaundwa na wauza madawa ya kulevya, mashoga, mafisadi, wanufaika na madawa ya kulevya na kundi la mwisho ambalo hakuliweka wazi. Ameandika kuwa licha ya kazi nzuri aliyoifanya wakati akiwa ofisini lakini bado kuna watu wanataka kumpoteza.
Hakika ukiwa mtumishi mwaminifu unaetetea haki za wanyonge tena ukitokea kwenye familia masikini haya ndivo malipo yake?, mtu aliejenga hospital , aliejenga ofisi za CCM, magari ya police ofisi za walimu, vituo vya polisi, shule za secondari na msingi, kutibu wagonjwa mpaka meli kuja Tanzania, kuhudumia makundi mbalimbali mpaka kuiunganisha serikali na viongozi wa dini leo hii naonekana eti natakiwa kunyongwa?" amehoji.
Sio mara ya kwanza Makonda kulalamika ingawaje hapo awali alisema kuwa kuna watu wana muhujumu kutaka kupora mali zake kwa maksudi.
Malalamiko haya ya Makonda yanaibua hisia na maswali mengi ambayo mtu anaweza kujiuliza ni nini kinamsibu Makonda?
Alipo sema kuwa wanataka kumnyang'anya mali ikaonekana ni jambo dogo lakini kufika kuhofia uhai wake ni jambo kubwa linalohitaji kujulikana.
Kama kweli kuna watu wanataka kumdhuru makonda ni akina nani hao na kwanini wasichukuliwe hatua?
Makonda anadai hayo makundi 5 ya watu wanootaka kumpoteza yanajulikana kwanini asipeleke malalamiko kwenye vyombo vya dora Mahakama na polisi kwa hatua za kisheria zaidi?
Tuseme kwamba Makonda haviamini vyombo vya dora hadi anakimbilia mitandaoni kulalamika ili apate huruma ya raia wa kawaida?
Hatuwezi kufikiria kuwa Makonda aliyetatua migogoro lukuki akiwa mkuu wa Mkoa hajui taratibu za kufuata ili kuripoti matukio kama haya?
Hapana kabisa bado kuna maswali mengi tunapaswa kujiuliza ili tupate kujua makonda ana hofu gani inayomtafuna na kumfanya alalamike kila kukicha.
Hatuwezi kujua ukubwa wa madaraka ya watu hao alio wataja katika makundi matano pengine ni wakubwa kimamlaka anohofia hawezi kupata haki, lakini mahakama na polisi ni vyombo huru anaogopa nini?
Bila shaka serikali ina miongozo yake katika kuwasaidia viongozi wake wastaafu kwanini Makonda hajatumia nafasi hiyo kulalamika?
Malalamiko ya Makonda Mitandaoni yanafikirisha na yanahitaji majibu.
Peter Mwaihola
View attachment 2184198