Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.

Makonda ataendelea.
P.
Kila moja atakula au kuvuna alichopanda. Wangapi wamelia kwa kupotezwa ndg zao. Wangapi wamefukwa kazi majukwaani na kuzimia pacpo hata kufuata sheria za kazi. Bila hata kujali kuwa nyuma yao wapo wanaomtegemea. Tetea watanzania kwa kufuata haki na sheria utapendwa na kutetewa na wengi hapa duniani
 
Aisee hesabu Uwepo wangu.

Huyu RC baadh ya mambo anaharibu ila katika ili suala La MADAWA , daaaahhh hata Nikipewa Silaha kumlinda nitafanya ivo bila hata kujiuliza.

Nalichukiaga sanaaaaaaaa sanaaa watu kutumia vijana kujitajirisha, naona saizi Nchi inazidi kua safi. Mateja wamepungua.

Tuko pamoja Mkuu paschal Mayala

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Huu utetezi kwa makonda naona kuna watu mnanufaika nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa ni mkereketwa wa haki, utetetea tuu haki bila kujali unamtetea nani.
Mimi ni mtetezi wa haki, kama ni kweli makotena yale yana vifaa vya shule tuu na vifaa hivyo vimetolewa bure, na kuingizwa nchini kama msaada kwa lengo la kuvigawa bure, then sii haki kuvitoza kodi!.

P.
 
Ila jamaa AWE MAKIN,, kuna miamala anayofanyiwa na marafiki matajiri anaipokea bila kujua MATAJIRI NIWATU WENYE UMOJA SANA.

Nandicho kinachomponza .....aache kutafuta pesa chafu

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Ukiwa ni mkereketwa wa haki, utetetea tuu haki bila kujali unamtetea nani.
Mimi ni mtetezi wa haki, kama ni kweli makotena yale yana vifaa vya shule tuu na vifaa hivyo vimetolewa bure, na kuingizwa nchini kama msaada kwa lengo la kuvigawa bure, then sii haki kuvitoza kodi!.

P.
kwa kauli yako hii tafsiri yake hata Rais Magufuli humuamini???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi tu! Watz wamchangie alipie kodi? Hizi ni akili za panzi ama za konokono?

Ukiona hadi mh Rais kaonge ujue kuna mengi nyuma yake, furnitures zilizoletwa karibu zote hazimuliki kwa uzuri wa kugawa kwa wanafunzi mashuleni.

MTU yeyote atake sapoti na kuchanga hela yake atakuwa na kesi ya kujibu tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hesabu Uwepo wangu.

Huyu RC baadh ya mambo anaharibu ila katika ili suala La MADAWA , daaaahhh hata Nikipewa Silaha kumlinda nitafanya ivo bila hata kujiuliza.

Nalichukiaga sanaaaaaaaa sanaaa watu kutumia vijana kujitajirisha, naona saizi Nchi inazidi kua safi. Mateja wamepungua.

Tuko pamoja Mkuu paschal Mayala

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
Upon kwenye Giza Nene, Hakukuwa na vita yoyote ya kupiga vita madawa ya kulevya Bali vita baina ya Cartels za wauza madawa kudhibiti soko huku Cartel moja ikishinda vita kwa kuwa wapo na Makonda.

Sasa mwenye kazi yake Sianga yupo kamuulize akupe ukweli.

Hivi uwe swahiba wa Kinje halafu udanganye watu unapambana na dawa za kulevya? Nyoooooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hali isiyo ya kawaida jana katika mitaa ya kinondoni hasa mitaa ya Ufipa(makao makuu ya wauza madawa ya kulevya) kumesikika miziki na watu wakinywa pombe sana huku wakishangilia taarifa ya Makonda kukemewa na rais kuhusu suala la makontena.

Wauza madawa hawa wanaona muda wa Makonda kuondoka Dares salaam umefika hivyo kuwaachia uhuru wa kufanya biashara yao bila kubanwa.

Ikumbukwe tu kuwa biashara ya madawa ya kulevya haiathiri Makonda wala familia yake ,hao hao mnaoshangilia watoto wenu na ndiyo watatumia hayo madawa na kuwa vibaka wa kuja kuwaibia huko na wengine watakuja kuwa mazezeta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa ni mkereketwa wa haki, utetetea tuu haki bila kujali unamtetea nani.
Mimi ni mtetezi wa haki, kama ni kweli makotena yale yana vifaa vya shule tuu na vifaa hivyo vimetolewa bure, na kuingizwa nchini kama msaada kwa lengo la kuvigawa bure, then sii haki kuvitoza kodi!.

P.
Nakuunga mkono wewe pamoja pià namuunga mkonò mpakwa mafuta Makonda vile vifaa angesamehewa tu visambazwe mashuleni
 
Katika hali isiyo ya kawaida jana katika mitaa ya kinondoni hasa mitaa ya Ufipa(makao makuu ya wauza madawa ya kulevya) kumesikika miziki na watu wakinywa pombe sana huku wakishangilia taarifa ya Makonda kukemewa na rais kuhusu suala la makontena.

Wauza madawa hawa wanaona muda wa Makonda kuondoka Dares salaam umefika hivyo kuwaachia uhuru wa kufanya biashara yao bila kubanwa.

Ikumbukwe tu kuwa biashara ya madawa ya kulevya haiathiri Makonda wala familia yake ,hao hao mnaoshangilia watoto wenu na ndiyo watatumia hayo madawa na kuwa vibaka wa kuja kuwaibia huko na wengine watakuja kuwa mazezeta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana Tanzania hakuna kitengo cha kuzuia madawa ya kulevya? Makonda ndiyo kitengo? Akifa leo madawa ya kulevya yatauzwa mtaani kama mitumba? Siku za nyuma kabla hata huyo Makonda hajazaliwa watu walikuwa wanakamatwa na wataendelea kukamatwa, kwanza yeye hana hata hiyo inelejinsia ya kukamata Bali anaongea tu na kuishi kukamata mateja na vipisi cha bangi halafu watu wamekaa na akili zao wanamsifia.
Ma RC hawana kazi ndiyo maana kazi yao kuzikia kazi za watu ambazo hawazijui, wewe umeiona wapi mwizi anapewa siku mbili au zaidi ajipeleke polisi tena anatangazwa kwenye media ili hata kama ana evidence ahamishe au afiche.
Hiyo hajawahi kutokea popote na haitatokea ni Tanzania pekee na watu wanasifia ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Makonda ataendelea.
P.

Mkuu ina maana Jiwe anakwamisha juhudi za Kijiwe?
 
Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.

Makonda ataendelea.
P.

Acha wenge, kwani yeye ni wa kwanza kuleta msaada?Mbona Mayor Boniface Jacob aliambiwa alipe kodi kwenye vile vifaa vya dampo la kisasa alilotaka kulianzisha. Nyuzi zako siku hizi ni kumsifu Mchukua nauli. Au umepewa kidogo?
 
Katika hali isiyo ya kawaida jana katika mitaa ya kinondoni hasa mitaa ya Ufipa(makao makuu ya wauza madawa ya kulevya) kumesikika miziki na watu wakinywa pombe sana huku wakishangilia taarifa ya Makonda kukemewa na rais kuhusu suala la makontena.

Wauza madawa hawa wanaona muda wa Makonda kuondoka Dares salaam umefika hivyo kuwaachia uhuru wa kufanya biashara yao bila kubanwa.

Ikumbukwe tu kuwa biashara ya madawa ya kulevya haiathiri Makonda wala familia yake ,hao hao mnaoshangilia watoto wenu na ndiyo watatumia hayo madawa na kuwa vibaka wa kuja kuwaibia huko na wengine watakuja kuwa mazezeta.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo unasema hakuna mtu anaweza kupigana na ishu ya madawa isipokuwa Mchukua Nauli?
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali, ikiwemo vita hii v kubwa ya dhidi ya madawa ya kulevya yanayowaharibu vijana wetu na kupoteza nguvu kazi muhimu ya taifa.

Makonda ameamua kulivalia njuga tatizo hili kwa kujitoa mhanga kuwaumbua kwa kuwataja wazi wazi na hadharani wabwia unga, wauza unga na mapapa wa mihadarati, jambo lililowaogopesha wauza unga, hivyo kuamua kumchafua Makonda kwa kila aina ya uongo.

Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga kupitia kwao na vibaraka wao na wapambe wao kumsingizia uongo. Paul Makonda kuwa ameghushi majina, amegushi vyeti, amejiunga na kusoma chuo kikuu kwa cheti cha kughushi na mpaka sasa anatumia majina ya kughushi!.

Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.

Makonda ataendelea.
P.
mkuu aliyepambana naye ametupa silaha? au mapambano ni ya wengi ?. this is life in disguise
 
Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.

Makonda ataendelea.
P.

hahahahahaha
 
Back
Top Bottom