Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

kabla sijasoma sheria nilishafanya kazi sana mkuu. wakati ukija na lile pikipiki lako nilikuwa nakuona bwanamdogo tu. pia mimi tangu nimalize napractice, hivyo sijailaza degree yangu ya sheria kama wewe, mimi ni mtu wa mahakamani everyday, wewe hatujawahi kukuona mahakamani na hauwezi hata kusimama. anyway, sio kwamba nimeongelea tu thread hii, ni thread zote nikikuangalia huwa sikuelewi halafu inaniuma kwanini classmate unakuwa pointless. ndio maana nimeandika hivyo, hata hivyo nikuache tu na maisha yako kwasababu sikulishi.pole na bye.
Asante, ukinielewa utajipa pole!. Ukishindwa kabisa kunielewa, nakupa pole.

Ni kweli kabisa sijawahi kukanyaga mahakamani, kwa sababu niko ok on what I do! . Niko OK kabisa, nilipo join UDSM nilikuwa tayari married mke mmoja na watoto wawili. Sasa nina wake 3, watoto 8 na maisha yanaendelea hivyo you can imagine!.

Karibu!.

Paskali
 
hahaha, pascal, tusijadili kwenye maisha yako binafsi hapo utakuwa unajikosea. hayo yote ninayafahamu kuanzia mkeo yule aliyeko mamtoni...sema hao wengine ndio siwajui. na watoto pia. nakushauri uifanyie kazi degree yako ya sheria kwasababu kama hauendi mahakamani hata ukiona wanasheria wamekaa kwenye dawati fulani au kijiwe fulani usije kujiunga kufikiri na wewe ni mmoja wapo. naomba niishie hapo nisichimbe maisha yako kwa kukuheshimu walau kidogo as classmate (damu nzito kuliko maji). argument zako unazozitoa huju ungelikuwa umekuwa ukienda mahakamani, ungeshajua namna ya kuargue ukaeleweka. na hii ndio sababu nilisema huwe sikuelewi, hata hapo ulijaribu kuongelea issue ya bashite ambaye hata mimi sitaki hata kumsikia lakini haukuwa na uwezo ku construct vizuri hoja....
 
c4f5ee81c54a9a3b7d4f95cc588a3f87.jpg
 
Mkuu Hute, kwanza asante to leave personal be personal, naelekea 50s, hivyo media za bongo kwa over 50s is not a good place to be, hivyo sasa ndio najipanga kisheria zaidi ila sio kwa kuja mahakamani.

Kwenye upande wa argument, naomba kujitetea kwa kukuuliza swali moja dogo sana kuhusu uzi huu, wewe ulipousoma tuu uzi huu umeelewa nimetaka kufikisha ujumbe gani humu? .

Paskali
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la Mass Mobilization Kuunga Mkono Juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Katika Vita Hii ya Madawa ya Kulevya Kwa Kuwaomba Ndugu, Jamaa na Marafiki, Wanaomjua Makonda Kwa Karibu, Njooni Tujitokeze Kwa Wingi ,Kumtetea Makonda Tunayemfahamu Dhidi ya Uongo na Uzushi Anaozushiwa na Mapapa Wauza Unga Kupitia Kwa Vibaraka Wao Kumsingizia Ameghushi Majina, Amegushi Vyeti, Amesoma Chuo Kikuu Kwa Chati Cha Kughushi na Mpaka Sasa Anatumia Majina ya Kughushi!.

Tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awaumbue wauza unga wakuu kwa kuwataja majina live, tena bila kupepesa macho wala kumungunya maneno, mafisadi hawa, wapambe wao, makuwadi wa ufisadi na wale wote wasilitakia mema taifa hili, wameanza kampeni ya kumvunja moyo na kumkatisha tamaa Makonda kwa kumzushia kila aina ya uongo.

Sisi tunaounga mkono vita hii, tunamsisitiza akaze uzi na asitetereke, wala asipoteze muda wake wa thamani kujibu uongo wowote wa kwenye mitandao, yeye achape tuu kazi, na majibu ya tuhuma zinazoelekezwa kwake, hazina haja kabisa ya kujibiwa na Makonda mwenyewe bali ndugu zake na marafiki zake wenye nia njema, wanaweza kutusaidia.

Maswali ni haya.
1. Majina matatu ya Mzee Makonda ( baba) ni nani? .
2. Majina matatu ya Makonda (mtoto) aliyoandikishwa Primary pale
3. Alianza Shule ya msingi mwaka gani na kumaliza darasa la 7 mwaka gani? .
4. Baada ya kumaliza la 7 alijiunga na sekondari gani mwaka gani?.
5.Alitumia majina gani matatu sekondari, tukiisha pata tuu majina, tutayaona matokeo yake ya Necta hivyo kuwakata vilimilimi wazushi wote.
6. Alijiunga Mbegani mwaka gani kwa majina gani? .

Majibu ya maswali hayo, yatawakata kabisa vilimilimi wote wanaotaka kumzushia kuwa hakusoma sekondari, alipata Div. 0 na kwamba aliiba cheti cha mtu!.

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda Kwenye Vita ya hii ya madawa ya kulevya dhidi ya mapapa wa madawa wanaotaka kumchafua Makonda wetu.

Paskali.

PAUL MAKONDA:

1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.

2. Majina yake halisi ni Daudi Albert Bashite

3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bashite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.

4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).

5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.

6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.

7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).

8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.

9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.

10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg. Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Meya wa Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.

11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.

12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.

13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).

14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).

15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.

16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.

17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).

18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bashite

19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.

20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
wivu unakusumbua Pascal akili ya Makonda inakuzidi mara dufu na kidigree chako cha elimu feki
 
Nitakuwa mkweli, kitabu nimekisoma tu chapters kadhaa wa kadhaa! Ningekuwa napanga kuwa na career kwenye upangaji mji na siasa zinazohusiana na mambo hayo labda ningekipa muda zaidi, labda sasa nitafanya hivyo. Kitabu chenyewe nadhani ni kurasa zaidi ya 1,000.

Hii haibadilishi nilichokisema, nimemresearch huyu Robert Moses kabla hamna mtu Dar es Salaam anamjua mtu anayeitwa Paul Makonda.

Mkuu Keynez tafadhali naomba unipatie hicho kitabu
 
Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.

Makonda ataendelea.
P.
 
Uko sahihi japo si sahihi sana
 
Kabisa bwana, anafanyiwa hujuma tu.
Wameona atakuja kuwa Raisi 2025.
Naunga mkono hoja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali, ikiwemo vita hii v kubwa ya dhidi ya madawa ya kulevya yanayowaharibu vijana wetu na kupoteza nguvu kazi muhimu ya taifa.

Makonda ameamua kulivalia njuga tatizo hili kwa kujitoa mhanga kuwaumbua kwa kuwataja wazi wazi na hadharani wabwia unga, wauza unga na mapapa wa mihadarati, jambo lililowaogopesha wauza unga, hivyo kuamua kumchafua Makonda kwa kila aina ya uongo.

Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga kupitia kwao na vibaraka wao na wapambe wao kumsingizia uongo. Paul Makonda kuwa ameghushi majina, amegushi vyeti, amejiunga na kusoma chuo kikuu kwa cheti cha kughushi na mpaka sasa anatumia majina ya kughushi!.

Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.

Makonda ataendelea.
P.
Apambane na hali yake kama wengine tunavyopambana.
Isitoshe si kila kitu kisingizio cha "kukwamishwa".KWA LIPI KWANZA?
Kwani yeye hajakwamisha wengine? Kumbuka vurugu za watoto "watu wazima wengine" aliowakurupusha wazazi wao eti wametelekezwa! Wengi walikwazika,Iweje yeye awe so special?
TUACHE UNDUMILA KUWILI NA UNAFIKI.
 
Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.

Makonda ataendelea.
P.
Kuwatetea wanasiasa wetu ni kusubiri kuumbuka mwishoni.....hapo kuna jambo linafichwa kwa mgongo wa walimu, huyu huyu aliyetamka hadharani kuwa angekuwa rais angewachapa viboko watumishi kwa kudai nyongeza ya mishahara yao??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu wetu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali, ikiwemo vita hii v kubwa ya dhidi ya madawa ya kulevya yanayowaharibu vijana wetu na kupoteza nguvu kazi muhimu ya taifa.

Makonda ameamua kulivalia njuga tatizo hili kwa kujitoa mhanga kuwaumbua kwa kuwataja wazi wazi na hadharani wabwia unga, wauza unga na mapapa wa mihadarati, jambo lililowaogopesha wauza unga, hivyo kuamua kumchafua Makonda kwa kila aina ya uongo.

Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga kupitia kwao na vibaraka wao na wapambe wao kumsingizia uongo. Paul Makonda kuwa ameghushi majina, amegushi vyeti, amejiunga na kusoma chuo kikuu kwa cheti cha kughushi na mpaka sasa anatumia majina ya kughushi!.

Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.

Makonda ataendelea.
P.
kuna kipindi huwa simuelewi Paschal,natambua ni great thinker ila kuna wakati anafanya mambo kinyumenyume usipomuelewa utaumia sana akili
 
Update 30/08/2018
Hata hili sakata la Makontena, kuyatoza kodi ni juhudi za kutaka tuu kumkwamisha juhudi zake kuwapatia waalimu wa Dar es Salaam vifaa vya ofisi, na wakati huo huo, kuwakatisha tamaa Watanzania walioko nje ya nje kuisaidia Tanzania.

Natoa wito kwa Watanzania marafiki wa Makonda, tujitolee kumchangia hizo bilioni 1.2 za kodi, makontena hayo yalipiwe kodi, waalimu wetu wapatiwe samani zao, na sakata hili lipite.
Hivyo huu nao pia ni upepo tuu na utapita!.

Makonda ataendelea.
P.
Nadhani Dkt Makonda iyo pesa anayo maana juzi kati alitoa msaada wa milioni 500 kwa BAKWATA ili wajenge msikiti
 
Back
Top Bottom