Ndugu Jayrutty tunaomba umalizane na Feitoto mapema kabisa

Ndugu Jayrutty tunaomba umalizane na Feitoto mapema kabisa

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
images (2).jpeg

Kwenye kile kipengere chetu cha kusajili mchezaji mmoja anayependekezwa basi tunaomba umalizane na Feitoto mapema kabisa.
Kwa hili hakuna shabiki wa Simba Sc atakayepinga. Naamini hata Fei anatamani kucheza timu namba 4 kwa ubora Afrika.

Nakutakia utekelezaji mwema
 
Kwenye kile kipengere chetu cha kusajili mchezaji mmoja anayependekezwa basi tunaomba umalizane na Feitoto mapema kabisa.
Kwa hili hakuna shabiki wa Simba Sc atakayepinga.

Nakutakia utekelezaji mwema
Muhasibu umekuwaje?
Mbona unampa majukumu ya MO!?
 
Back
Top Bottom