Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Muhasibu umekuwaje?Kwenye kile kipengere chetu cha kusajili mchezaji mmoja anayependekezwa basi tunaomba umalizane na Feitoto mapema kabisa.
Kwa hili hakuna shabiki wa Simba Sc atakayepinga.
Nakutakia utekelezaji mwema
Muhasibu umekuwaje?
Mbona unampa majukumu ya MO!?
hiyo itakuwa kazi ya mkwewe amberutty,usijali chini ya amberruty imeisha hiyoView attachment 3307329
Kwenye kile kipengere chetu cha kusajili mchezaji mmoja anayependekezwa basi tunaomba umalizane na Feitoto mapema kabisa.
Kwa hili hakuna shabiki wa Simba Sc atakayepinga.
Nakutakia utekelezaji mwema
Kwaani kasema atachangia endapo atauza jezi ngapi?? Maana nimeona umesema hayo yote yataenda tukinunua jeziView attachment 3307331
Hukusikia maelezo ya vipengere vya mkataba?
Hana uwezo wa kushindana na GSM! Itakuwa ni kujilisha upepo tu!View attachment 3307329
Kwenye kile kipengere chetu cha kusajili mchezaji mmoja anayependekezwa basi tunaomba umalizane na Feitoto mapema kabisa.
Kwa hili hakuna shabiki wa Simba Sc atakayepinga.
Nakutakia utekelezaji mwema
Kwamba Mo alikuwa chini ya hadhi ya GSM?GSM kapata mshindani mwenye hadhi yake
MO ni tilionea GSM ni mpambanajiKwamba Mo alikuwa chini ya hadhi ya GSM?
Na Sasa JayRutty hadhi ya juu kuliko Mo?
Usiache mbachao kwa msala upitao.
GSM ndiye hutengeneza jezi fake za SimbaView attachment 3307331
Hukusikia maelezo ya vipengere vya mkataba?
Endeleeni kuota nyie, mchezaji anayejitambua kiakili hawezi kucheza hiyo kilabu. Hela hazitoki kirahisi ivyoKwa hili hakuna shabiki wa Simba Sc atakayepinga. Naamini hata Fei anatamani kucheza timu namba 4 kwa ubora Afrika.
Endeleeni kuota nyie, mchezaji anayejitambua kiakili hawezi kucheza hiyo kilabu. Hela hazitoki kirahisi ivyo
Nyie si mlikuwa mnamlisha ugali na sukari au umeshasahauEndeleeni kuota nyie, mchezaji anayejitambua kiakili hawezi kucheza hiyo kilabu. Hela hazitoki kirahisi ivyo