Ndugu Jumanne Kishimba ni mtu wa aina gani haswa? Mbona ana uwezo mkubwa wa kujenga hoja tofauti na tulivyodhani?

Hiyo mizaha anayozua bungeni kwako ndio kujenga hoja?
 
Ukitaka kujua tabia za Kisukuma asilia muangalie huyu Mzee Mdakama asilia sio akina Magufuli Wahutu waliojiingiza kwenye Usukuma.

Tabia za mauwaji na kutesa wenzao sio tabia za Kisukuma.

Mimi ni msemakweli mpenzi wa Mungu.
 
Tafuta Hela, ukiwa Mbunge unatoa hoja zilizo tulia....
 
Ukikaa masaa 2 na kishimba hata asikupe hata senti tano, lakini madini yake tu ukitoka hapo usipokua tajiri basi unabahati mbaya, na ni mtu wa watu sana sana ,
Kabisa na inaonekana life la mtaa analijua vizuri sana sio Hawa kina Mwigulu na January viela kuanza kushika 2000's dharau kibao na hata kuongea public hawajui
 
Katika kusahihisha thesis ya PhD, kinacho angaliwa sana ni originality ya utafiti uliofanywa na matokeo yake. Sasa maoni na mchango wa Mheshimiwa Jumanne Kishimba always ni original.
Pia huwa ni kitu kipya, na mimi ananivutia sana. Ila kwa sababu ya akili ndogo (tunazo taka kuonyesha ili tuombee misaada) hakuna anaye chukulia serious na kufanyia kazi michango yake!
Angekuwa China, huyu huyu Kishimba angetumiwa kuendeleza taifa. Lakini Sisi hapa bungeni, ni kucheka tu na inaishia hapo!
We are fools.
 
Acha kudanganya watu mchana kweupe Kwa stori zako za kuokoteza!
 
Kishimba ni mtoa dira na commedy , hoja zake zinahtaji kuchakatwa kwanza ndo ziingie mjini , ukiziparamia kichwa kichwa utasababisha maafa tuu , pia ni mchumia tumbo mzuri tuu hana jipya
Siyo kweli, ni wale wenye akili ndogo ambao hawamuelewi! Hivi imagine kama ungekuta a na Einstein enzi hizo akakueleza kuhusu relativity, si ungemuona chizi! Yaani amedata.
 
Hana uwezo wowote ni comedian tuu. Hana uwezo wowote wa kuchbua mbo mazito na ya kisheria. Nashangaa Kila siku wao na musukuma lazima waongee
 
Mimi nashangaa kwa niji vyombo vya habari vinatuletea ujinga mwingi wakati kuna stories nyingi na nzuri za kina Kishimba, Azam na wenzako katengenezeni documentary/makala za watu hawa, interviews ziwe nyingi
 
Jiwe yuko wapi sasa? Zecharia yuko Tarime anadunda. Magufuli amekufa na ushamba wake
 
Huyu Mzee aliwaita Wazungu kutoka Zimbabwe wakaja kujenga Plant ya kwanza nadhani ilikuwa Nyarugusu mimi nilikuwa Bukoli wakati huo.
Nadhani unaiongelea Pamoja Mining...ila mwanzilishi wa hizo leaching plants huko Geita ni WAJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…