kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Leo nikiwa zangu nimesimama sanamu ya askari pale posta mtaa wa samora Kuna kijana mmoja alikuja akaniuliuza jina ambalo mimi sijawahi kulisikia kabisa
Niko zangu nimesimama sijui hili wala hili mara nikasikia bro Mambo vip nami nikasema fresh ndugu yangu
Mshikaji akaniuliuza bro magari ya kwenda GOMS yanapaki wapi? Duh nikabaki nimeduwaa GOMS? Ndo wapi huko? Nikawa nawaza au behewa la TREN la mwendo kasi, lakini Mimi nikawambia sijui ndugu yangu
Sasa jamiiforum ndo mkubwa wao nimekuja kuulizia GOMS ndo wapi
Asante