Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,134
<br />Mie napenda sana kusaidia ndugu zangu, huwa naona huruma sana lakini hawa ndugu ambao sio tumbo moja huwa na wivu sana aisee,hata umsaidie vipi ataleta za kuleta tu,huwez amini unampeleka ndugu ako nje kusoma unamuomba akija aje na aina fulani ya perfume anamtumia msg mama ake kulalamika, then anakosea inakuja kwako, ungekuwa wewe ungejisikiaje,unakaa kimya bila kulalamika anaamua kuja nayo, then kuondoka anakuja tena kuomba pesa,hii ipo sanasana unafanyaje coz roho mbaya huna unampa tu,ila sasa nahisi nimejifunza kitu fulani,hata ujifanye mwema kiasi gani bado watakutafuta wakuchomekee kidole mat,,,,,
<br /
Akija kuomba pesa ya kuondokea unamforwadia msg ya malalamiko aliyomtumia mama yake.