Ndugu lawama......mnao huko kwenu?

<br />
<br /
Akija kuomba pesa ya kuondokea unamforwadia msg ya malalamiko aliyomtumia mama yake.
 
Ndugu wengine wanataka fedha tu lakini ukimtafutia shughuli lazima ataharibu. Shule hataki,biashara au kibarua atalalamika mi ndio ananiona mimi nina dhiki sana wa kufanya kazi kama hiyo! Baada ya wiki anakuja kuomba pesa.
 
Nakwambia unakuwa na mume kama mti wa matunda jangwani kila mtu anakimbilia kuchuma,ila inatakiwa uwe na busara ya hali ya juu coz ndio hivo tena mambo yetu ya kiafrika huwezi kwepa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…